Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
Leo baada ya kuchukua kombe letu la Carabao mashabiki wa Chelsea na Liverpool mtakuwa na jukumu la kuwarudisha nyumbani mashabiki wa Man United, wale wa Arsenal ole wenu tukifika banda umiza tukute viti vichafu, haiwezekani muje kuona mechi yetu halafu tusiwape kazi, tumewaita?