Hata Klopp kwangu mimi bado ni bonge la kocha ila tatizo lake ana roho nzuri sana (He's a classic Mr. Nice guy). Inabidi ajifunze tabia ya kuwa na roho ngumu kidogo kama Pep Guardiola, baada ya misimu kadhaa ya kucheza top football ni lazima ufanye kupunguza baadhi ya wachezaji na kuleta wapya hasa hasa wale wenye umri mkubwa.Ten Hag ni mwalimu mzuri.
Kikosi ni almost kilekile Cha msimu uliopita,lakini ameweza kubadili na timu inafanya vizuri, kitu ambacho Makocha wetu akina Klopp wameshindwa.
Kwa kweli man u mnaupiga mwingi..
Vijana waliendelea kupambana hivi mnaweza beba makombe yote.