Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,727
Tusubiri sec half sasa
Basi kumbe wewe ni tahira me sikujui kabisa na sitaki kukujuaHamna mi nakujua wewe
Anathema vizuri sana leo, kipa wa Newcastle kamnyima bao lake.Jamaa limetoa assist
Ona uyu mbwaKila siku nasema huyu kocha ni mjinga, anatucheleweshea ushindi wa mapema. Weka full mziki tushinde mapema!!!!!! Huyo DALOT amefata nini hapo? Kuna mtu anaitwa SAINT MAXIMA atamtesa sana, tena anaweza kupigwa kadi ya mapema.




GGMUNa alikaribia sana kufunga leo.Super assist "WHERGHOST"
Analiona goli aisee uyu raashid mpembaIla wazee huyu Rashford ni kama alimtoa kafara Bibi Elizabeth maana kila wiki lazima akinukishe
GGMU
Goli la pili wameka Own Goal. Wamemkatili Rashford.Analiona goli aisee uyu raashid mpemba
Dalot ndio Fred hapanaFred na Dalot wapumzike aingie Wan Bissaka na Sabitzer. Game itakua imeisha.
Sikuhizi hatuna muda wa kumiliki, kazi yetu sisi ni kuchukua ushindi na kuwaacha midomo wazi mkiulizana , iliwezejanaje.Mpaka dk hii ya 18 Newcastle wamemanage kutawala kiungo