Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 15,040
- 33,687
Hii gemu nitaitafuta niweke kwenye pc kabisaaGemu kama ya leo piga nikupigie mara ya mwisho kuiona ilikuwa Fainali mwaka jana Qatar France Vs Argentina ..
Hii gemu nitaitafuta niweke kwenye pc kabisaaGemu kama ya leo piga nikupigie mara ya mwisho kuiona ilikuwa Fainali mwaka jana Qatar France Vs Argentina ..
Kama Ten hag anamuamin... just trust the process tuu ndo hivi hivi tunaendaAngalia akipewa mpira hawez kuhold anapokonywa kiurahisi..
Urefu wake tulitegemeq mipira ya juu atakua ana win vzur lkn ndo kwanza anaikosa imagine anashindwa mpk na gavi kwmy kuwin aerial ball..
Ighalo alkua vizur sn kuliko huyu weghost
ingekuwa tumeanza Ot wangekujaUzi umetulia walikuwa wanatamani angalau tungepigwaa japo mechi ingekuwa haijamalizika natumaini wangekuja kushambulia kupoza mchungu maana uzi huu mda haujavamiwa kwa mashambukizi makali kama ya jana Arsenal..
Magoli yake mengi ni Mungu nisaidie piga nikupige, huwezi kutisha ulaya ukiwa na forward kama rashford, ngoja waarabu wachukue timu tusajiri wachezaji, sio hawa sijui fred, sijui Sancho uchafu mtupu.Kwa Rashford naona ameiprove sana ,ukimuuliza kocha yeyote kwa sasa anapenda kukutana na Man U lazima amuhofie Rashford , akishika mipra karibu na eneo la box lazima hatari itokee kwa wapinzani na yuko vizuri katika kufanya maaamuzi sahihi .
Wewe ni Ke?Barca tunakusubiri Old Trafford
Una chuki na Rashford.Magoli yake mengi ni Mungu nisaidie piga nikupige, huwezi kutisha ulaya ukiwa na forward kama rashford, ngoja waarabu wachukue timu tusajiri wachezaji, sio hawa sijui fred, sijui Sancho uchafu mtupu.
Hamna kitu mule, kuna mwana yeye ni Liverpool tangu wakati rashford anaingia ingia kwenye kikosi mm nilikuwa namkubali sana ila jamaa akawa ananiambia hamna kitu mule nikawa nambishia, kwasasa nakubaliana naye 100% na ndiyo maana hata national team anaingia kibahati bahati tu Southgate keshamstukia.Rashford akituliza mawenge ni bonge la player wa kiwango cha juu kabisa aana kila kitu mguuni kwake tena sasa anvyofunga confidence inazidi kuongezeka..
Waarabu wakichukua timu hiyo takataka haikai hata benchi.Jamaa hata anasaidia kukaba hata hivyo mimi nina natumaini makubwa pale bado hatujapigwa hata kidogo ila ushirikiano mdogo anapata uwanjani.
Wana mpira wa kizamani kama aseno. Unaupiga mwingi na haushindi. Mwenzako Rashford akiugusa mara moja goliBarca wanaupiga mwingi ila ndio hivyo tena
Mechi mbovu sana ya leo, ilikuwa na makosa mengi mnoo ya kiufundi, wachezaji hawakuwa na umakini, wachezaji wa pande zote mbili. Yani mechi za NBC ni nzuri kuliko mechi ya leo.Gemu kama ya leo piga nikupigie mara ya mwisho kuiona ilikuwa Fainali mwaka jana Qatar France Vs Argentina ..
Sio leo tu..ni siku zote, mpambanaji haswaIla Fred leo yupo fire wazee[emoji91][emoji91][emoji91]
Nilikuwa namkubali sana wakati ule anaanza, baadaye nikagundua ni miyeyusho.Una chuki na Rashford.
Unampaje pasi mtu hana control ya mpiraKaribu timu nzima W.Ghost hata akae position nzuri hawampi pasi .
Wachezaji wetu walichoka sana. Wamecheza mfululizo. Tulitakiwa dakika ya 75 tufanye sub ya watu kama watatu lakini benchi halina mtu. Dakika 90 tumefanya sub moja.Gemu ilikuwa ya moto mpaka unakosa muda wa kuja kuchangia jukwaani..
Fatigue. Toka ligi imeanza anacheza yeye tu mechi zote.Tatizo la Rashford ni akishapata goli moja huwa ana relax ataka kujituma kabisa. Anatakiwa kujituma muda wote.
EvidenceAngalia akipewa mpira hawez kuhold anapokonywa kiurahisi..
Urefu wake tulitegemeq mipira ya juu atakua ana win vzur lkn ndo kwanza anaikosa imagine anashindwa mpk na gavi kwmy kuwin aerial ball..
Ighalo alkua vizur sn kuliko huyu weghost
Na ile penalt alinyimwaMpeni sifa zake tuu jamaa anapambana ila kafunga goli gumu kwel
Hili la ushirikiano mdogo hebu liache, ni mentality za kiafrika. Kama ulicheza mpira utaelewa huwezi kuacha kumpa mtu pasi eti kwa kuwa unamchukia. Ukiwa kwenye pressure ukiona jezi yoyote nyeupe iko kwenye position nzuri unatoa pass haraka bila hata kujua ni nani. Hajui kuji-position hajui akae wapi akiona mashambulizi yanaenda kwa adui. Kingine kinam-cost anarudi sana nyuma kukaba 'sio mvivu kama martial' kwa hiyo counter attack ikitokea anakuwa hawezi tena kuiwahi.Jamaa hata anasaidia kukaba hata hivyo mimi nina natumaini makubwa pale bado hatujapigwa hata kidogo ila ushirikiano mdogo anapata uwanjani.
SureAngalia akipewa mpira hawez kuhold anapokonywa kiurahisi..
Urefu wake tulitegemeq mipira ya juu atakua ana win vzur lkn ndo kwanza anaikosa imagine anashindwa mpk na gavi kwmy kuwin aerial ball..
Ighalo alkua vizur sn kuliko huyu weghost
Jana tumewatesa sana arsenane kwenye uzi wao [emoji1][emoji1][emoji1]Uzi umetulia walikuwa wanatamani angalau tungepigwaa japo mechi ingekuwa haijamalizika nauhakika wangekuja kushambulia kupoza mchungu maana uzi huu mda haujavamiwa kwa mashambukizi makali kama ya jana Arsenal..