John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,039
Ubinafsi unatucost sanaKaribu timu nzima W.Ghost hata akae position nzuri hawampi pasi .
Malizia ubinafsi wa Rashford, Barca angekufa 4 hapaUbinafsi unatucost sana
Amebebwa sana, mpaka aibu.Mamaee Barca anabebwa
bissaka ukitoa yale maboko jamaaa anakaba bhanaWachezaji waliokuwa na mchezo mbovu sana leo..
1.Bissaka
2.Sancho
Best performance
1.De gea
2.Malacia
3.Fred
Rashford ni mchezaji wa hovyo sn, usimtegemee kabisa haaminiki. Ili apate goli moja anatakiwa apate nafasi kuanzia tano na kuendelea.Nimependa wachezaji wanavyojituma.
Lewandosky anahangaika tu lkn rashford akipata upenyo watashangaa wenyewe.
De jong anajitahidi man UTD tufeli. Japo Wana vipaji kibao lkn we will make it
Mechi ya leo pesa yako kibanda umiza imekwenda kihalali pira limechangamka mpaka usingizi unakata.Gemu ilikuwa ya moto mpaka unakosa muda wa kuja kuchangia jukwaani..
Asee camp nou ilisimaa leo..Maisha yamebadilika sana Barcelona wanashangilia Europa kama wendawazimu
Gemu ya leo ilikuwa moto sanaaAttempts
Barca 16
Man u 16
ningekosa ningejilaumu sanaaMechi ya leo pesa yako kibanda umiza imekwenda kihalali pira limechangamka mpaka usingizi unakata.