Dish
JF-Expert Member
- Jun 3, 2019
- 628
- 930
Kwaiyo umeona hapo tu alipokosea mengine mazuri ya kukaba tena chin kabisa anarudi hujaona……
Watoto wa kizazi cha smartphone ujuaji mwingi afu buree kabisaa
Hivi wewe unaujua kweli mpira? soccer? Uliwahi kucheza?Magoli yake mengi ni Mungu nisaidie piga nikupige, huwezi kutisha ulaya ukiwa na forward kama rashford, ngoja waarabu wachukue timu tusajiri wachezaji, sio hawa sijui fred, sijui Sancho uchafu mtupu.
Nimekuuliza unajua mpira kweli wewe?Mechi mbovu sana ya leo, ilikuwa na makosa mengi mnoo ya kiufundi, wachezaji hawakuwa na umakini, wachezaji wa pande zote mbili. Yani mechi za NBC ni nzuri kuliko mechi ya leo.
Maajabu,Hamna kitu mule, kuna mwana yeye ni Liverpool tangu wakati rashford anaingia ingia kwenye kikosi mm nilikuwa namkubali sana ila jamaa akawa ananiambia hamna kitu mule nikawa nambishia, kwasasa nakubaliana naye 100% na ndiyo maana hata national team anaingia kibahati bahati tu Southgate keshamstukia.
Huyo ni Shabiki wa Barcelona na Man U.Nimekuuliza unajua mpira kweli wewe?
Jamaa anajipigia tuThis is a Marcus Rashford appreciation post.
#TrustTheProcessETH[emoji1179]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2519839
Hamna kitu mule.Jamaa anajipigia tu
Wewe unayempinga kocha anayejitahidi kuleta upinzani ndiye unayejua mpira.Nimekuuliza unajua mpira kweli wewe?
Suala sio kufunga goli gumu.Mpeni sifa zake tuu jamaa anapambana ila kafunga goli gumu kwel
United kufungwa na Barca siyo kitu cha ajabu lakini kiti anachokaa Barcelona basi pembeni yake yupo United.Hii timu mara ya mwisho kutufunga 2008.
Miaka kumi na tano iliyopita.
Mna haki kushangilia draw ya jana.