Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,310
- 46,806
Barcelona wameruhusu magoli 7 tu kwenye La liga mpaka sasa..
Tuimprove sana kwa kweli
EtH mwezi wa sita asafishe watu wasiokuwa na umuhimu na azibe magap na watu watakaotufanya tuwe bora zaidi ya hapa.
Martial,Maguire,VdB,Jones,Williams,Tuanzebe,Bailly,McTominay,Elanga,Telles..hawa wote inabidi waondoke klabuni.