Fvck offNarudia tena kuna uhovyo kwenye ulinzi wa Barca. Ngoja nikalale mie
Kama ulivyosema, Rashid kawashangaza.Nimependa wachezaji wanavyojituma.
Lewandosky anahangaika tu lkn rashford akipata upenyo watashangaa wenyewe.
De jong anajitahidi man UTD tufeli. Japo Wana vipaji kibao lkn we will make it
Ten hag atakuja kuwatesa sana watuComeooooooon!!!
Mbona wanitukana nimekukosea nini??Fvck off
Tulia uangalie soka, acha taarabu kiumeni hapa.Ila mnajua Sana kutetea wachezaji wenu...mnasema Anthony uwepo wake unafanya timu pinzani isipande,mara weghorst anawatisha mabeki.... Haya ndo majukumu Yao muhimu yaliofanywa wakasajiliwa.?.. aisee tutasikia mengi[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
UEFA ya sasa hakuna sheria ya magoli ya ugenini kuna kuhesabiana kavu kavu.Haya magoli ya ugenini ni ya muhimu sana.