Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii style of play ya barca kwa sasa dunia nzima wanaicheza mpaka simba sports.....wanahitaji mbinu mpya kuja kutawala soka la ulaya
Dah jamaa unachuki na Yanga wewe, ukaona bora uongope kuliko kuitaja Yanga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Our Numero Uno
Screenshot_20230216_225221_Instagram.jpg


Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Kwa Rashford naona ameiprove sana ,ukimuuliza kocha yeyote kwa sasa anapenda kukutana na Man U lazima amuhofie Rashford , akishika mipra karibu na eneo la box lazima hatari itokee kwa wapinzani na yuko vizuri katika kufanya maaamuzi sahihi .
sina shaka na Udoctor wake
 
Back
Top Bottom