Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sema jana tuliupiga mwingi sana hayo mengine makosa ya kawaida tu tulishindwa wenyewe kuua game kwa nafasi tulizopata.

Muhimu tuna uwezo wa kurudisha goal wakitutangulia sio kipindi cha rangnick tukiwekwa tu goal ujue nitolee io.
Kama mnajipa credit kwa mpira mliocheza dhidi ya Leeds basi mna safari ndefu sana.

Leeds ni moja kati ya timu mbovu kwa sasa kwenye EPL, ikifuatiwa na Crystal Palace, both offensively and defensively.

Hata baada ya kuongoza 2-0, sikutegemea kama wataweza kushikilia bomba mpaka mwisho, nilijua tu either watapoteza mechi au wata draw kwa namna ya uchezaji wao. Ni wabovu haswa!

Lakini nashangaa humu kuna watu wanachukulia mechi na Leeds kama kipimo. So sad! Manyumbu mnatia huruma.
 
We mbona umefumuliwa malinda na Everton, nasisi tumetulia kimya tu kama hakijatokea kitu, unadhani hatuna habar yako?
 
Kama mnajipa credit kwa mpira mliocheza dhidi ya Leeds basi mna safari ndefu sana.

Leeds ni moja kati ya timu mbovu kwa sasa kwenye EPL, ikifuatiwa na Crystal Palace, both offensively and defensively.

Hata baada ya kuongoza 2-0, sikutegemea kama wataweza kushikilia bomba mpaka mwisho, nilijua tu either watapoteza mechi au wata draw kwa namna ya uchezaji wao. Ni wabovu haswa!

Lakini nashangaa humu kuna watu wanachukulia mechi na Leeds kama kipimo. So sad! Manyumbu mnatia huruma.
Hatukatai kama ni wabovu, sema kuna game na game wanakua vizuri ndio kama jana, waliipania ile game na wakatushangaza kweli.
 
City morali sasa chini atacheza kumaliza ligi tuu maana yanayomkabili ni magumu kuliko kuchukua ubingwa, Arsenal ana game nyingi ngumu sana zinamsubiri sioni akitoboa, atapigwa za kutosha na kuanza kudrop point kama kawaida yake, huu ni mwaka wa MANU washindwe wao tuu
Jana ngapi ngapi mkuu?
 
*****
 
Kama mnajipa credit kwa mpira mliocheza dhidi ya Leeds basi mna safari ndefu sana.

Leeds ni moja kati ya timu mbovu kwa sasa kwenye EPL, ikifuatiwa na Crystal Palace, both offensively and defensively.

Hata baada ya kuongoza 2-0, sikutegemea kama wataweza kushikilia bomba mpaka mwisho, nilijua tu either watapoteza mechi au wata draw kwa namna ya uchezaji wao. Ni wabovu haswa!

Lakini nashangaa humu kuna watu wanachukulia mechi na Leeds kama kipimo. So sad! Manyumbu mnatia huruma.
Everton kamfunga arsenal, unaweza kuwabeza arsenal kisa kafungwa na everton?? Leeds ni wabovu, wametimua kocha so kocha mpya lzma aje na hamasa na morali ya wachezaji huwaga inaongezeka na hiko ndo kilichotokea jana..
Ilikua ni suprise kwa man u coz ten hag gemu aliichukulia poa sn
 
Pale hata umlete Haaland ataishia kuzurura tu. Garnacho nafasi mbili za wazi kutoa tu pasi Weghorst ingekuwa kama kumsukuma mlevi.

Hata mechi ya City pale OT, Rashford alipata nafasi mbili za wazi huku Martial akiwa eneo zuri la kufunga akafanya kama alichofanya mdogo wake jana, wao wanajali zaidi rekodi zao binafsi kabla ya timu. Sasa siku hali inapokuwa tete ndiyo mambo kama haya tunaambulia point tu.
Guardiola ndio kocha ambaye anafanya vizuri kwenye kukomesha ubinafsi kwa wachezaji kwa asilimia kubwa timu zote kwa vipindi alivyofundisha tabia hiyo ipo kwa asilimia ndogo sana na mara nyingi wachezaji wake wanapenda kupasiana hata wakiwa kwenye nafasi clear za kufunga.
 
Back
Top Bottom