Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Jumapili tuanze hivi

GK - De gea

RB - AwB
CB - Varane
CB - Martinez
LB - Shaw

CDM - Lindelof
CM - Sabitzer

CAM - Fernandez

RW - Antony
LW - Sancho

CF - Rashford

Kama Antony hatokuwepo basi rashy aje kushoto, sancho kuria na weghorst kama ST
 
Kama kocha anataka ushindi basi Werghost sio mchezaji wa kuanza, Rashford aachwe acheze kati.
Pale hata umlete Haaland ataishia kuzurura tu. Garnacho nafasi mbili za wazi kutoa tu pasi Weghorst ingekuwa kama kumsukuma mlevi.

Hata mechi ya City pale OT, Rashford alipata nafasi mbili za wazi huku Martial akiwa eneo zuri la kufunga akafanya kama alichofanya mdogo wake jana, wao wanajali zaidi rekodi zao binafsi kabla ya timu. Sasa siku hali inapokuwa tete ndiyo mambo kama haya tunaambulia point tu.
 
Jumapili tuanze hivi

GK - De gea

RB - AwB
CB - Varane
CB - Martinez
LB - Shaw

CDM - Lindelof
CM - Sabitzer

CAM - Fernandez

RW - Antony
LW - Sancho

CF - Rashford

Kama Antony hatokuwepo basi rashy aje kushoto, sancho kuria na weghorst kama ST
Werghost tena??

Hapo acheze Pellistri..Rash asimame katikati na Sancho kushoto..Kama Anthony hatokuwepo.
 
Sema jana tuliupiga mwingi sana hayo mengine makosa ya kawaida tu tulishindwa wenyewe kuua game kwa nafasi tulizopata.

Muhimu tuna uwezo wa kurudisha goal wakitutangulia sio kipindi cha rangnick tukiwekwa tu goal ujue nitolee io.
Jana tuliupiga mpira mwingi sanaa, chances zilikuwa created sana, finishing yetu bado inashida, tunatengeneza nafasi nyingi lakini hakuna goli.
Leeds kwenye mashambulizi yao walitumia sanaa upande wa Dalot, alikuwa weak kwenye defensive yake, mipira mingi au naweza sema almost magoli yote yamepitia upande wake.
Fred nae aliboronga sana jana utafikiri alikula mrenda kabla ya mechi, anacheza vizuri dakika 2 alafu anazingua dakika 20.
bado United tunahitaji kiungo mwingine maana pengo la Casemiro na Eriksen linaonekana live bila chenga.
Garnacho nae miyeyusho tu, hua tunakimbiliaga kumlaumu Anthony ila huyu dogo ana kaujinga flani mara 100 ya Anthony, Sancho pamoja na kukaa nje muda mrefu ila impact yake jana ilikua kubwa sana, mechi ijayo 10 Hag inabidi amuanzishe tu kwenye 11st mambo ya fitness atayapatia humohumo dimbani.
Sambusa (Sabitzer) kidogo ndio usajili wenye afadhali tulioufanya kwenye dirisha dogo ila huyo Weghorst kusimama kule mbele hapana kama vipi arudishwe nyuma akasaidiane na kina varane tu kwenye ulinzi.
Ila yule winger wa kushoto wa Leeds Wilfred Gnonto ni Bukayo Saka mtupu halafu ndio kwanza ana miaka 19 tu, msimu ujayo itapendeza nikimuona amesajiliwa kwenye timu kubwa.
 
Jana tuliupiga mpira mwingi sanaa, chances zilikuwa created sana, finishing yetu bado inashida, tunatengeneza nafasi nyingi lakini hakuna goli.
Leeds kwenye mashambulizi yao walitumia sanaa upande wa Dalot, alikuwa weak kwenye defensive yake, mipira mingi au naweza sema almost magoli yote yamepitia upande wake.
Fred nae aliboronga sana jana utafikiri alikula mrenda kabla ya mechi, anacheza vizuri dakika 2 alafu anazingua dakika 20.
bado United tunahitaji kiungo mwingine maana pengo la Casemiro na Eriksen linaonekana live bila chenga.
Garnacho nae miyeyusho tu, hua tunakimbiliaga kumlaumu Anthony ila huyu dogo ana kaujinga flani mara 100 ya Anthony, Sancho pamoja na kukaa nje muda mrefu ila impact yake jana ilikua kubwa sana, mechi ijayo 10 Hag inabidi amuanzishe tu kwenye 11st mambo ya fitness atayapatia humohumo dimbani.
Sambusa (Sabitzer) kidogo ndio usajili wenye afadhali tulioufanya kwenye dirisha dogo ila huyo Weghorst kusimama mbele hapana kama vipi arudishwe nyuma akasaidiane na kina varane tu.
Naelewa kwanini 10 hag anamtaka sana de jong.
 
Niliangalia, ntasemaje tuliupiga mwingi kama sijauona shida yetu makosa madogo madogo yakafanya tupigwe ndoige za mapema/upande wa dalot na kati pale kkwa fred.

Natofautisha pira la rangnick la hovyo na hili tunalopiga sahizi.
Jana hamkucheza vizuri kivilee maana pass nyingi mlikua mnapoteza Rahford hakuwa katika ubora kwani alianzia kucheza akitokea kuria mmekuja kupata uwahi baada ya kuongia Sancho pale ndio mlianza kucheza vizuri
 
Uko sahihi game nyingi tunapoteza mipira kizembe sio hiyo tu, ndio maana hata zile sita za city tulibahatika tu ilibidi zizidi, tukiachana na hayo naongelea sana upande wa kutengeneza nafasi angalau kuna kitu kinaonekana tofauti na mwanzo.
 
Fred jana watu walitumia udhaifu wake... kumchezesha fred na sabitzer ni kama kuchezesha fred watatu uwanjani..
 
Back
Top Bottom