Kwani hizi takataka jana zimecheza?!Jana ngapi ngapi mkuu?
Hahahahaha wamekojozwa dakika ya ngapi mkuu 🤣🤣🤣Mmevunja Rekodi kwa kuwa wa kwanza KUBONG'OLEWA NA KUKOJOZWA mapema sana tangu Ligi ianze
Mbona unaleta source za "the sun" broGreenwood kaanza mazoezi i hope to see him soon
Diamond aende mazishini,lakini nae alikuwa na tuhuma kumuua Girlfriend wake mwaka jana,isije ikawa kisasiShabiki lialia wa United toka 1996. Hataweza tena kuona Erik ten Hag atatufikisha wapi msimu huu pamoja na ubingwa wa 21.
#RIPAKA
View attachment 2513260
Diamond aende mazishini,lakini nae alikuwa na tuhuma kumuua Girlfriend wake mwaka jana,isije ikawa kisasi
Kwa msimu huu, ndio uwezo wetu ulipoishia.Kila siku Arsenal anapondosha points nakumbuka mechi ya Palace na Arsenal away na ile ya juzi vs Leeds.
5 points dropped kizembe tu tena kipindi ambacho tupo kwenye form nzuri. [emoji36]