Mmevunja Rekodi kwa kuwa wa kwanza KUBONG'OLEWA NA KUKOJOZWA mapema sana tangu Ligi ianzeMechi inayofata 10 Hag asipoanza na Sancho kwenye 11st sitamuelewa kabisa.
Lile goli tulilofungwa kabla ya dakika ya kwanza ndio linaweza kua goli la mapema zaidi Epl msimu huu 2022-2023.
Mtoto mpuuzi sana yule kana ego za kijinga mno.Garnacho pamoja na talent aliyonayo kitu anachonikera ni kuwa mchoyo na siyo mara ya kwanza anafanya hivi. Mimi ni heri acheze mchezaji anayeonekana ana talent ya kawaida lakini anacheza kama timu.
Sancho, Pellistri, Diallo, Martial ni wachezaji wazuri sana wanaocheza kama timu. Hata Greenwood kipindi anaanza kupata namba alikuwa na mambo hayahaya ila tofauti yake na Garnacho ana uwezo mkubwa wa kufunga. Sasa Garnacho anakaa na mali halafu hafungi.
Duh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kile Kitoto cha Leeds cheusi chenye matako makubwa kimemsumbua sana Dalot kilimgeuza uchochoro.
Kwa sauti ya legendari letu Gary Neville... Haha haaaaaaa hahahaha hahaaaaaaaaaaaa.Mabingwa watarajiwa hamjambooooooo?
Said bahanuziAngeanza Nani?
hayanaga akili ARV,ALLY PIPI,FLANO,yanachambuaga Mpira kwa kutumia makalio badala ya kutumia kichwatunamfunga leeds gap linabak points 5, watafungwa na brentfod zinabak 2, kisha lzm cty amfunge afu ss tunashinda mechi yetu ya pili na leeds hao hao tunakaa kileleni hadi ligi inaisha
Manyumbu bana
Sunday mtakojolewa hamtaamini Leeds akiwa home ni hatari kuliko awaySema jana tuliupiga mwingi sana hayo mengine makosa ya kawaida tu tulishindwa wenyewe kuua game kwa nafasi tulizopata.
Muhimu tuna uwezo wa kurudisha goal wakitutangulia.
Leeds ikitokea katufunga katuotea tu ni kibonde wetu hawezi kaza game mbili mfululizo.Sunday mtakojolewa hamtaamini Leeds akiwa home ni hatari kuliko away
Kwa nini unajiita "DADA MLA MAYAI"?nakojozwa vizuri sana,lakini sio mapema kama walivyokojozwa Manyumbu jana,yaana dakika ya kwanza tu washakojolewa daaah[emoji1787]
kwa sababu sikojozwagi mapema kama Man UKwa nini unajiita "DADA MLA MAYAI"?
kwa sababu sikojozwagi mapema kama Man U
Mpira uliangalia au umepitia higlights asubuhi?Sema jana tuliupiga mwingi sana hayo mengine makosa ya kawaida tu tulishindwa wenyewe kuua game kwa nafasi tulizopata.
Muhimu tuna uwezo wa kurudisha goal wakitutangulia sio kipindi cha rangnick tukiwekwa tu goal ujue nitolee io.
Huyu dogo me naona sio wakuanza, huyu ni wakuingia kipindi cha pili.Leo timu inacheza hovyo sana afu garnacho kila mpira anapoteza tu