Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,396
Two points dropped
Sio timu yenu kila timu ina wachezaji viongoz mkuu hao wanakuwa chachu ya kila kitu
Hii timu yetu tukubali tukatae, ni Casemiro na Eriksen. Bila hawa watu wawili tutapata tabu sana.
Kile kitoto kilichokosa 2 open chances kimetucost sana hii mechi, katafutiwe timu kwa mkopo kakakue Kidogo.
Tusingeanza na huyu ngongoti na Garnacho hii game tungeshinda vizuri tu.Garnacho na fred wametuangusha sana leo na nafikiri hakuna haja ya kuanza na huyu ngongoti anatuchelewesha tu
Hujajua tu wewe...asingekuwepo Fred unadhani baada ya Casemiro kuumia nani angecheza hapo kati..kapambana sana katibua tibua sana ukiacha makosa madogo madogo. Yule Dalot ndio utopolo mtupu.Garnacho na fred wametuangusha sana leo na nafikiri hakuna haja ya kuanza na huyu ngongoti anatuchelewesha tu
10 Hag sijui hua anafikiriaga nini kumuanzisha Garnacho?Tusingeanza na huyu ngongoti na Garnacho hii game tungeshinda vizuri tu.
Kuna chance kilikuwa chenyewe na nyavu halafu kuna hiyo kilishindwa kutoa pass.Kimekuwa kichoyo tu, kuna moja kingempasia WW alikuwa anatupia bila tatizo.
Timu mbovu ni Everton lakini iliwashikisha ukuta wa London Asenyani.Mnatoa sare na timu mbovu tena nyumbani kwenu halafu mnajiita title contenders!
Shenzi kabisa!
Ok tumeangusha point mbili, hapa ndipo unapoona timu inabidi iwe na kikosi kipana tusingesajili January sijui ingekuaje fred mwenyewe anachochezaga anajua mwenyewe miguu yake haina nguvu kabisa sijui nyeto, nafasi anapata mpira anaopiga sasa salaleeee.