Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Debut for Wout Weghorst

GGMU.

Screenshot_20230118-220944_Instagram.jpg
 
Kosi la ushindi liko wapi ndugu zangu wa title contenders?

Yani mnaiwazia sana gemu ya j'pili kuliko hii ya leo
 
Hizi ndiyo aina ya mechi zinawapa kiburi Arsenal 😁

7 shots on target conceded against Spurs (wakiwa na DM wao) halafu timu kama United ambayo ilipata a total of 4 shots on target against City ni mbovu kwasababu watacheza Emirates.

United wakiwa away wana 1.67xG. A proper humbling ndiyo kitu itawafaa Arsenal, wanajisahau sana.

View attachment 2486472
Arsenal wanaongea kama vile akiwepo Partey mpinzani hapati shot on target hata moja. Kwa kweli ile game yao na spurs,ni bahati haikuwa upande wa spurs tu ila walitengeneza nafasi nyingi nzuri sana ila Ramsdale alifanya kazi yake vizuri sana.
 
Manchester united inacheza leo na dunia nzima ina furaha[emoji16][emoji16]

Prediction

Crystal palace 0 vs Manchester united 1

Time

5.00 usiku

GGMU[emoji83][emoji83]View attachment 2486402
😀nimekuja nisome hii comment kwanza kabla ya kwenda kibanda umiza....

kikosi cha leo kipo vizuri... naamini Ushindi lazima


#GGMU
 
Kipindi cha kwanza Team imecheza vizuri, wapo speed (isipokuwa Rashford) nafikiri amebadilishiwa majukumu.
 
DStv ikinyesha mvua kidogo tu "NO SIGNAL" nashindwa kuona soka la vijana wa EtH ipasavyo.

#GGMU
Mkuu dish lako halijasetiwa vzr mm kwangu wingu likiwa jeusi ndio haionesh lakin kam kuna mvua na wingu la kawaida inaonesha bila kugandaganda
 
Back
Top Bottom