Sicario poison
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,327
- 4,574
Imoooo
Mkuu dish lako halijasetiwa vzr mm kwangu wingu likiwa jeusi ndio haionesh lakin kam kuna mvua na wingu la kawaida inaonesha bila kugandagandaDStv ikinyesha mvua kidogo tu "NO SIGNAL" nashindwa kuona soka la vijana wa EtH ipasavyo.
#GGMU
Aaah! Ntafuatilia nijue maana kipindi hiki cha mvua ni tatizo.Mkuu dish lako halijasetiwa vzr mm kwangu wingu likiwa jeusi ndio haionesh lakin kam kuna mvua na wingu la kawaida inaonesha bila kugandaganda
Kuna mabadiliko makubwaWakuu mnamuona Wan Bissaka lakini
TayariCasemiro hatakiwi kupigwa yellow card,maake ataikosa game ya arsenal..
Nadhan aingie tomminay now