Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

#MUNMCI

#GlazerOUT
#GGMU

man utd |View attachment 2481387View attachment 2481388View attachment 2481389View attachment 2481390View attachment 2481391
IMG_20230114_230049_658.jpg
 
Nyie mambanga saivi munashinda shinda meno yote nje nje sasa hongereni kwa ilo ila sisi puroject etu ikikaa sawa aise nawambieni mutajua hamujui unaona jinsi tunavyoshusha vyuma!? Yani musimu ujao sijui mutaweka wapi sura zenu maana tutagawa dozi ile mithili ya mateso ya yesu.. hii timu enu ya kuunga unga na uyu kocha enu anawaletea waholanzi tu nawambiya mutakuwa na wakati mugumu sana
#CFC💙💙💙💙
 
#CFC
Mmepigwa tena 100 Mudryk, huyo chakinolisi hawezi kua naproject ya kueleweka.
 
Van dijk alimdanganya nini mwenzie maana hata vaan gaal ndio anavyoshawishi wachezaji wasiende united
kwa maono yako unaona Van Gaal yupo sawa?..?

Unachotakiwa kujua van Gaal anachuki na waajiri wake wa zamani #ManUtd hivyo hawezi toa maono chanya kutuhusu sisi, na ndio maana kila muda utaona akituponda tu.

Pia LVG yeye ni nani mpaka awe sawa kwa kila shauri atakalotoa?..?
 
Back
Top Bottom