Mbabani
JF-Expert Member
- Jun 20, 2022
- 2,501
- 7,159
Nilijua hayo mambo ni bongo tu hadi kwa wenzetu. Yani Elanga yupo ila Facundo hata sub amna kmmk.Pellistri hayupo hata bench..ila Elanga yupo..
Nilijua hayo mambo ni bongo tu hadi kwa wenzetu. Yani Elanga yupo ila Facundo hata sub amna kmmk.Pellistri hayupo hata bench..ila Elanga yupo..
Malacia ile game alicheza vibaya na kidogo tu angekula red..Leo itabidi atulize akili sana..na Shaw amsaidie upande huo.Huo upande wa beki ya kushoto ya malacia ndio ulikua uchocholo, wa magoli ya man fisi. Cjui kocha ameona niny mpaka kumuweka malacia hapo.
Cndio hapo Sasa, afu malacia mie ndio naogopa maana game ya kwanza na man fiisi ilimkataa kabisa na alikua uchocholo kwa baadhi ya magoli ya man fisi, cjui ten hag anaplan gany!Pellistri hayupo hata bench..ila Elanga yupo..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pellistri hayupo hata bench..ila Elanga yupo..
Inasemekana anaondoka kwa mkopo.Pellistri hayupo hata bench..ila Elanga yupo..
Fred leo kapewa chance atakiwasha sana hapo kati, ule mguu wale uko kama una sumaku. Garnacho angeanza ili ampe Walker yellow card ya mapema ashindwe kucheza, lakini kuna wakongwe hapo ni ngumu sana dogo kuanza.Malacia ile game alicheza vibaya na kidogo tu angekula red..Leo itabidi atulize akili sana..na Shaw amsaidie upande huo.
City tukiwakamata kwenye flanks naamini tutafanya kitu..sina shaka na AWB,naamini atamweka mtu mfukoni.
Naona Anawakanda city Kwa vijembe na maneno ya shombo akiwa jukwaanHuyu leo anawakanda city
Wapinzani chali
Mnajitutumuaga [emoji38]Kati pako solid, Fred na Casemiro!
Naona licha Hana fitness!
Upande wa malacia akipelekewa Sana Moto huwa anapanic anaweza kula umeme !
Leo Martial atatusuprise, ana kismati na mechi kubwa ! Assist au goal
Huku kwa AWB naona hakuna shida !
Kipindi Cha pili wataingia kina Anthony !
Joao cancelo siku hizi anakabia macho, sio yule ! Let's go
#GGMU
Relax bro. Cha muhimu msiwafunge hawa jamaa. Toeni nao sare tu inatosha.I'm nervous..
Daah..jasho linanitoka
Fred atamsaidia, watakuwa pamoja.Malacia ile game alicheza vibaya na kidogo tu angekula red..Leo itabidi atulize akili sana..na Shaw amsaidie upande huo.
City tukiwakamata kwenye flanks naamini tutafanya kitu..sina shaka na AWB,naamini atamweka mtu mfukoni.
Na hivi wako kwao tena? Inawezekana kabisa. Kawaida Sisi tukicheza na Spurs pia tunakuwa tunacheza na FA na PGMOL kwa pamoja hivyo the odds are usually stacked against us. Huwa inatupasa sisi tupae wao wanapotembea.Ikiwa hivyo, kesho itakua Totte 2 Aseno 1
Tutarudi hapa tarehe 22Kwangu mimi naona tukimfunga Man City na Crystal Palace halafu tukidraw na Arsenal itakuwa vizuri zaidi.
Fred yupo ndani leo, unakiongeleaje kikosi?Kosa la kwanza EtH atakalolifanya kesho ni kuanza na kiungo cha Casemiro,Fernendes na Eriksen.
Tunahitaji mkimbiaji hapo katikati..ile game ya sita goli la kwanza lilianzia pale Eriksen alipoacha kucheza tactical foul..Fred atatusaidia kwa kazi hii.