HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,674
- 7,129
Kwa hiyo mnasema leo kwenu ni 'nyama choma day'?Manyumbu matamu sana..
nyam nyam nyam ..
tunakuja kujilia vyetu pale kwenye matofali.
nyamu nyamu nyamu nyamu...
Kwa hiyo mnasema leo kwenu ni 'nyama choma day'?Manyumbu matamu sana..
nyam nyam nyam ..
tunakuja kujilia vyetu pale kwenye matofali.
nyamu nyamu nyamu nyamu...
Hahaha. daah. bonge moja la taarabuMama Cita Sinyorita,
Leo tunakugongwa goli sita,
Kila ukiinama sisi tunaweka,
Mpaka mwisho utajuta,
Kwa nini uwanjani timu ulileta.
MR10 Hatrick
Anthony 2
Bruno 1
#End of an era
SwadaktaaaKwa hiyo mnasema leo kwenu ni 'nyama choma day'?
AAaah. Leo sare tu itafaa pande zote husika.Swadaktaaa
Sijaweka mkekaMkeka wako mpe manchester united.
Mechi ya leo kwa upande wako ni kama hadithi ya mandonga...Sijaweka mkeka
Ila leo ntakuwepo hapa hapa mkuu
Ila Martial ni mtumishi hewa aisee, jamaa kalegea balaa
Da bruine kawekewa Fred hajagusa mpira [emoji38][emoji38]
Mahrez kawekewa Malacia hajagusa mpira [emoji38][emoji38]
Tunatakiwa tuchezaje ili tishinde,tena dhidi ya CityKwa namna tunavyocheza hii mechi tunaweza kupoteza.