Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,872
- 32,780
Kuwafunga City tunatakiwa tuperfect mikimbio yetu kwenye transition.Presha na khofu kwa wachezaji ndiye adui yetu mkubwa pindi tunapocheza na timu zenye ubora mfano wa manchester city.
Tunahitaji kuazima confidence ya wachezaji wa liverpool japo kwa dakika 90 mchana wa leo.
City atakufa mchana wa leo kama tutaondoa uoga
Hatutakiwi kufanya mistakes kwenye breaks tunapokwenda kushambulia kwa kutoa sloppy passes.
Atleast tutumie vizuri early chances tunazopata.
Man city wanakuwa vizuri sana wide na kwenye defence yao ukiondoa Walker wanakuwa dhaifu kwenye fullbacks atleast tunaweza kuexploit maeneo hayo.

BREAKING! 
