Huyu Ni maji kupwa na kujaa sawa na rashyyy! Watakufurahisha mechi tano consecutively, watakuudhi nyingine tano mtawaliaNajisikia vibaya kila mawazo ya kwamba Martial ni flop yanapotaka kudominate fikra zangu. I just like this guy, sijui kwa vile anafanana na mtoto wangu au nini.
Stats sio mbaya Sana na tumempata kwa Bei nzuri sio wale makenge wa darajani wamepigwa 11m na kucover full salary 280k weekly!Wout Weghorst club stats:
Wolfsburg: 70G, 22 A in 144 apps
Burnley: 2G, 3 A in 20 apps
AZ Alkmaar: 45G, 13 A in 86 apps
Heracles: 24G, 8 A in 73 apps
FC Emmen: 21G in 66 apps
Beşiktaş: 9G, 4 A in 18 apps
G = Goals
A= Assist
apps = Appearance
EeeeehWout Weghorst ukimuangalia kwa mbali aina yake ya uchezaji inafanana na Luis Suarez ila kiuhalisia yeye ni Benzema mtupu, kuna vitu Cavani alijifunza kwa mtu huyu na anaposhuka kiwango anacheza kama Lewandowsky.
Nyie Kenge wa pale darajani mna matatizo mengi, mnahitaji kufanyiwa maombi ya kitaifa.
kwa beki ile ya Coulibally na genge lake huruma naona mimi, Unaambiwa huyu mwamba anakimbia yule Kylian Mbappe arudi tena twisheni.
Maybe if this is personal interest, lakini by far Thomas Partey has been the best holding midfielder itl this season, nikufundishe kitu, kama unahitaji kiungo mzuri kwenye 1st phase & progression lazima umchukue Thomas Partey, km unahitaji kiungo mzuri kuzuia lkn si mzuri technically mchukue Casemiro, Casemiro namuona ni Ngolo Kante, wakati Thomas partey ni Rodrigo cuz wote wana technical consistency japo partey is more physical prowess. Fabinho simuongelei cuz kapotea msimu huu, sasa mpira mnauangaliaje wenzetu? binafsi ningemuweka Caicedo, Rodrigo & Partey kwenye list mbele ya wabrazil wawili.Who's the best defensive midfielder in the Premier League? [emoji848]
#GlazerOUT[emoji469]
#GGMU[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2475340
Ubingwa ? Mapema mno kuuwazia !!!! Hapa malengo Ni kusecure top 4, mwakan tushiriki UEFA !!!Najua mashabiki wengi wanaona mbio za UBINGWA zipo Kati ya timu MBILI ARSENAL na MAN City hata baadhi ya mashabiki wenzetu humu wanafikiria hvyo,
Ila kwa upande wangu naona hata sisi TUNA NAFASI YA KUCHUKUA UBINGWA MSIMU HUU....
Na mwanga utaanza kuonekana juma linaloanza ambapo tutacheza na MAN City pamoja na PALACE hapo j5...
Endapo tutashinda hzo mechi mbili tutakuwa tunamkaribia kwa ukaribu zaidi na anaeongoza ligi ambaye ni ARSENAL ambaye nae anakibarua kigumu dhidi ya mpinzani wake TOTTENHAM,
Na akitoka na Tottenham anakutana na sisi...
Patamu hapo!!!
#GGMU
Ushauri wangu Fikira za Ubingwa ziweke mbali kabisa.Najua mashabiki wengi wanaona mbio za UBINGWA zipo Kati ya timu MBILI ARSENAL na MAN City hata baadhi ya mashabiki wenzetu humu wanafikiria hvyo,
Ila kwa upande wangu naona hata sisi TUNA NAFASI YA KUCHUKUA UBINGWA MSIMU HUU....
Na mwanga utaanza kuonekana juma linaloanza ambapo tutacheza na MAN City pamoja na PALACE hapo j5...
Endapo tutashinda hzo mechi mbili tutakuwa tunamkaribia kwa ukaribu zaidi na anaeongoza ligi ambaye ni ARSENAL ambaye nae anakibarua kigumu dhidi ya mpinzani wake TOTTENHAM,
Na akitoka na Tottenham anakutana na sisi...
Patamu hapo!!!
#GGMU
Kwamba unawaza ubingwa na upo nyuma point tisa kwa Arsenal, mind the gap bruv[emoji1787]Najua mashabiki wengi wanaona mbio za UBINGWA zipo Kati ya timu MBILI ARSENAL na MAN City hata baadhi ya mashabiki wenzetu humu wanafikiria hvyo,
Ila kwa upande wangu naona hata sisi TUNA NAFASI YA KUCHUKUA UBINGWA MSIMU HUU....
Na mwanga utaanza kuonekana juma linaloanza ambapo tutacheza na MAN City pamoja na PALACE hapo j5...
Endapo tutashinda hzo mechi mbili tutakuwa tunamkaribia kwa ukaribu zaidi na anaeongoza ligi ambaye ni ARSENAL ambaye nae anakibarua kigumu dhidi ya mpinzani wake TOTTENHAM,
Na akitoka na Tottenham anakutana na sisi...
Patamu hapo!!!
#GGMU
JANABA LA SOTON UMEOGA AU UNABWABWAJA TU.Tunawagonga hapo hapo OT na hakuna kitu mtatufanya [emoji3] zile goli 6 tulizowagonga mmesahau ??
[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2478888
Huyu kijana anajua kupotea mambo yakiwa magumu[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2478888