Tunatakiwa tuchezaje ili tishinde,tena dhidi ya CityKwa namna tunavyocheza hii mechi tunaweza kupoteza.
Anacheza mpira kwa machoHuyu martial fala sana, cjui kocha anasubiria niny kumtoa
Tunacheza sloppy sana, tulitakiwa kuwafunga Man City kwenye chances zile za mapema kabla haijaanza kurudi mchezoni.Tunatakiwa tuchezaje ili tishinde,tena dhidi ya City
Martial mvivu yupoKama akimuanzisha tena na leo Martial na wale watoto machachari akiwaacha benchi itabidi niangalie hii mechi nikiwa nimelewa.
Ndio pona yao leoNaona Anawakanda city Kwa vijembe na maneno ya shombo akiwa jukwaan
Rashford dah
Mvivu mnoAnacheza mpira kwa macho
I hate to be right, Kuna mtu humu alikuwa anamcompare Casemiro among the elites holding midfielders itl. Njoo tena bruv utuambie uliona nini.Maybe if this is personal interest, lakini by far Thomas Partey has been the best holding midfielder itl this season, nikufundishe kitu, kama unahitaji kiungo mzuri kwenye 1st phase & progression lazima umchukue Thomas Partey, km unahitaji kiungo mzuri kuzuia lkn si mzuri technically mchukue Casemiro, Casemiro namuona ni Ngolo Kante, wakati Thomas partey ni Rodrigo cuz wote wana technical consistency japo partey is more physical prowess. Fabinho simuongelei cuz kapotea msimu huu, sasa mpira mnauangaliaje wenzetu? binafsi ningemuweka Caicedo, Rodrigo & Partey kwenye list mbele ya wabrazil wawili.
KabisaaUchoyo lkn angeachia kwa bishoo ilikuwa kamba