Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wamekurupuka pale gakpo hana uwezo wa kuanza pale Liverpool labda tu waseme wameongeza squad depth ila siyo mchezaji wa kugombania namba na kina diaz jota firmino [emoji28][emoji28]
Imewalazimu wafanye hivyo ,maana Jota had February ,Diaz March

Wangeleta ujinga wangejikuta nafasi ya 15

Ila Gapko Ni wakawaida tu ,sidhani Kama angewafaa man u

Hata Liverpool hawez kuanza ,usitishwe na namba ,

Nunez niliwaambia Liverpool Ni mchezaji aliye shine msimu mmoja tu hivo wategemee 50/50 , tofaut na halland ana misimu karibu mitatu ana namba za HATARI

Gapko wamemsajili wasikose Sub had March .
 
Casemiro je? Varane? Wote world class hawa na wameamua kuja UTD ushawishi upo wa kutosha.

Ulisoma story ya Licha? Kampigia simu ETH anaomba kuja UTD ananmwambia akikataa ndio Ataenda Arsenal.
Hao uliowataja Casemiro na Varane wote ni NSSF wamekuja kula mafao ya uzeeni.. yani nyam nyam!😆
 
Issue ni kwamba hakuna profile tunayoitaka sokoni, kwa Bei jamaa angetusaidia sana Depth.
Mpo na sisi Arsenal kwenye Dili la Joao Felix , japo na Chelsea kaingia

Nilitegemea na man u fans wengi walikuwa wanajua watawekeza nguvu kubwa kwa Gapko maana mmeanza kutajwa kitambo

Arsenal tuliachana na Gapko toka summer
 
United hawakuwahi kuweka bid!
 
Casemiro je? Varane? Wote world class hawa na wameamua kuja UTD ushawishi upo wa kutosha.

Ulisoma story ya Licha? Kampigia simu ETH anaomba kuja UTD ananmwambia akikataa ndio Ataenda Arsenal.
Ila lisandro mtu Sana, namkubali kwenye pass tu

Huyu angekuwa pale Emirates ,pangewaka Moto

Bila ETH kuwepo man u ,ilikuwa Mali yetu kabisa
 
Hao uliowataja Casemiro na Varane wote ni NSSF wamekuja kula mafao ya uzeeni.. yani nyam nyam!😆
Ukitoa Mbappe na Haaland hakuna World class mtoto, Mpaka Uwe world class unahitaji kuprove at top level, so World class wengi ni Hao NSSF, kwa form Zao Varane na Casemiro msimu hii i dont mind NSSF mwengine.
 
United hawakuwahi kuweka bid!
Inawezekana hawakumuhitaji haswa , au Liverpool wamefanya ushawishi

Kwa man u Sasa inahitaji ku establish style ya kucheza ,ili mchezaji anapokuja anajua naenda kufanya Nini

Huenda Liverpool kupitia Klopp wamewazidi man u kwenye ushawishi
 
Sasa kama hawajaweka bid, kushindwa kwenye ushawishi kunaingiaje hapo?
 
Mpo na sisi Arsenal kwenye Dili la Joao Felix , japo na Chelsea kaingia

Nilitegemea na man u fans wengi walikuwa wanajua watawekeza nguvu kubwa kwa Gapko maana mmeanza kutajwa kitambo

Arsenal tuliachana na Gapko toka summer
Tatizo la Joao ataweza kublend na Bruno? Labda kwa vile anapatikana kwa mkopo pengine risk ndogo,

Na Chelsea wameshakua kama sisi Zamani, Felix si kama tu kina Havertz na Mount? Anakwenda tu kuongeza idadi.
 
Felix kwa Chelsea namuona Kama atakuwa Havertz wa 2 au mount ,Sababu Chelsea had Sasa haijulikani inacheza aina gan ya football ,haijulikani Mount ,Havertz wanacheza position zipi
 
Back
Top Bottom