Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Kuna rafiki yangu Ni man u kila Siku ananiambia huyu Gapko kila akimuangalia anaona kabisa hatafiti man u , hii taarifa itakuwa imemfurahishaUnited hawakuwahi kuweka bid!
Kuna rafiki yangu Ni man u kila Siku ananiambia huyu Gapko kila akimuangalia anaona kabisa hatafiti man u , hii taarifa itakuwa imemfurahishaUnited hawakuwahi kuweka bid!
Gapko is better than Antony (G/A zinambeba) i wonder why United sign Antony instead of Gapko na bei aliyonunuliwa ni mara mbili ya Gapko .United walikuwa wana advantage kumshawishi .PSV Manager (Ruud Van Nistelrooy) , ETH ni mdachi mwenzie na United wanahitaji foward baada ya CR7 kuondokaYule Anthony ,man u fans watakuja kukubali baadae Sana kuwa Ni wakawaida
Bei ya Gapko Ni nzuri ukilinganisha na ya Anthony au Sancho ,maana Ni Aina hiyo hiyo ya wachezaji.
Huenda Gapko kabadili mawazo Jioni
Huyu pekee alikuwa na msimamo wake.
Romano mpaka leo Asubuhi alikuwa anasema Gakpo anataka kwenda United, bonge la boko.
Position, Antony ni Right winger na Gakpo ni left winger.Gapko is better than Antony (G/A zinambeba) i wonder why United sign Antony instead of Gapko na bei aliyonunuliwa ni mara mbili ya Gapko .United walikuwa wana advantage kumshawishi .PSV Manager (Ruud Van Nistelrooy) , ETH ni mdachi mwenzie na United wanahitaji foward baada ya CR7 kuondoka
Kuna viashiria , Anthony alikuwa target ya Kwanza ya Kocha ,hivo waliamua kumskiliza Kocha anataka NiniGapko is better than Antony (G/A zinambeba) i wonder why United sign Antony instead of Gapko na bei aliyonunuliwa ni mara mbili ya Gapko .United walikuwa wana advantage kumshawishi .PSV Manager (Ruud Van Nistelrooy) , ETH ni mdachi mwenzie na United wanahitaji foward baada ya CR7 kuondoka
No way Psv wameshatangaza Official kabisa ina maana mikataba ishasainiwa kila kitu, haya sio mambo ya leo.Huenda Gapko kabadili mawazo Jioni
Unasemaje!!!?Huna uwezo wa kusajili world class players kwa sasa
Hili neno world class player mnalitumia vibaya na halijawahi kuwa na maana rasmiUnasemaje!!!?
Kwahiyo tulivyomsajili Ronaldo alikuwa siyo world class player?
Utafikiri Arsenal mna uwezo wa kushawishi world class players kuja kwenu. Timu yenu ina miaka mnanunua wachezaji wa mafungu.
Gakpo na Felix siyo world class players. Siyo wachezaji wa kusumbua vichwa kwenye kusajili.
Liverpool wako faster ku-make decision kusajili wachezaji tofauti na United.Luiz,Thiago walisajiliwa the same styleNo way Psv wameshatangaza Official kabisa ina maana mikataba ishasainiwa kila kitu, haya sio mambo ya leo.
Basi Liverpool walifanya hili Dili kwa Siri Sana ,hata Dili la Diaz waliliendesha kwa Siri Sana,No way Psv wameshatangaza Official kabisa ina maana mikataba ishasainiwa kila kitu, haya sio mambo ya leo.
World class gani wewe, we world class unawajua?Ni world-class players lakini ama?
Ama hawaleak habari zao? Woodward alikuwa analeak kimakusudi transfers kugenerate clicks na interest.Liverpool wako faster ku-make decision kusajili wachezaji tofauti na United.Luiz,Thiago walisajiliwa the same style
Nurse tena. So UTD hawakubid.
Ngoja tuone wana Mpango gani
Kuna Possibility kubwa Mkuu tulisha opt kutomsajili kama Huyo Nurse yupo sahihi.Thats why most first target wanazikosa na many players wanakuwa overpriced .It was obvious world cup ni sehemu ya kutengeneza soko to some players na watakaofanya vizuri watagombaniwa na value zao zitapanda
You must ask faster kama unamtaka mchezaji
Mazungumzo siyo kuweka bid mezani mwa PSV!Man u ametajwa Sana alikuwa na mazungumzo na wakala wa Gapko
SiwajuiWorld class gani wewe, we world class unawajua?
ETH kasema anataka striker kama striker, swali langu wakati wanamfukuzia tangu last summer alikuwa anakuja kwa nafasi ipi??? Manake LW kuna watu wa kutosha.Mi mwenyewe sijui nini kitaendelea kama Ni ETH kachomoa ama Liver wametupokonya. Tutajua baadae.