Kafanyaje?Rashford ni trash wanaomtaka wafanye haraka
Hahahaa ni mchezaji mzuri ila alikuwa over-hyped kuliko uwezo wake halisi.Huyu Nunez afadhali tumekwepa Bomu.
Euro 75,000 kwa wiki hazikukuwa zinaendana na kazi anayofanya uwanjani, angeongezewa hata Euro 25,000Ander Herrera: “Leaving was difficult because six months before I expected an offer to stay. It's not the time to speak ill of someone and I'm not going to do it, but after my third season, I expected a little more from the club at that time.”
#GlazerOUT
#GGMU
man utd |View attachment 2450125
Hivi dogo AG49 alishiriki michuano ya FWC kule Qatar?Raisi wa nchi ya Argentina Alberto Ángel Fernández Pérez amempongeza mno Lisandro Martinez kwa kuiwezesha nchi yake kutwaa kombe la dunia, Pia ameishukuru sana club ya Manchester United kwa mchango wake mkubwa wa kuwang'arisha wachezaji wa Argentina duniani, akitolea mfano wa Carlos Tevez raisi Fernández amesema anaandaa memorandum of understanding kati ya Argentina na United ili raia yoyote wa Argentina anapotaka kucheza soka nje ya nchi kipaumbele cha kwanza iwe kwenda kucheza soka kwenye club kubwa zaidi ya Manchester United.
Raisi Alberto Ángel Fernández Pérez alikua anaongea kwa hisia kali mpaka machozi yalikua yanamtiririka.
#Viva Lisandro Martinez
#Viva Manchester United
#Viva La Albiceleste
Tungelia kama mtu aliyepigwa kipigo cha mbwa koko..Huyu Nunez afadhali tumekwepa Bomu.
Source zinasema Gakpo sema ni source za. Kawaida.Tungelia kama mtu aliyepigwa kipigo cha mbwa koko..
Hivi january hii kuna dalili za kuingia sokoni kuongeza attacking options zetu?
Alikuwa anataka 300kEuro 75,000 kwa wiki hazikukuwa zinaendana na kazi anayofanya uwanjani, angeongezewa hata Euro 25,000
Aisee nilikuwa sijui hiloAlikuwa anataka 300k
Psg walimpa hio offer akataka UTD waimatch, ndio maana aliondoka.Aisee nilikuwa sijui hilo
Duh hicho ni kisangaPsg walimpa hio offer akataka UTD waimatch, ndio maana aliondoka.