Top four baada ya game 14? upo serious? Unajua zimebakia game 24.Is your team even in the top four???View attachment 2457923
Haaaaa hawa ndio wale walioanza kutazama mpira between 2018 to 2022Top four baada ya game 14? upo serious? Unajua zimebakia game 24.
imekuaje mpaka mmemkosa
tushamkosa
Hivi ni uzembe au kuna plan nyingine??
tushamkosa
tushamkosa
Umemwambia Ukweli ,sijui Kama atakuelewaHuna uwezo wa kusajili world class players kwa sasa
Hata fabrizio huwa anachemka kwa lfc... Huwa anashangaa tu tayali[emoji3]I like how Liverpool wanavyo-act faster kwenye usajili,
Wamekurupuka pale gakpo hana uwezo wa kuanza pale Liverpool labda tu waseme wameongeza squad depth ila siyo mchezaji wa kugombania namba na kina diaz jota firmino [emoji28][emoji28]I like how Liverpool wanavyo-act faster kwenye usajili,
Unajua Diaz atarudi lini? Jota? Pia unajua maana ya kikosi kipana?Wamekurupuka pale gakpo hana uwezo wa kuanza pale Liverpool labda tu waseme wameongeza squad depth ila siyo mchezaji wa kugombania namba na kina diaz jota firmino [emoji28][emoji28]
Achana nae huyo alikuwa anajua Dogo anaenda United haamini anachokina.Unajua Diaz atarudi lini? Jota? Pia unajua maana ya kikosi kipana?
Mbona kwa city hushangai, [emoji3]
Najua umeumia
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi Kama ni hivyo ataumia Sana, maana man u hawezi shindana na lfc kwenye transfer nyakati hizi maybe tusiwe tunamtaka mchezaji.Achana nae huyo alikuwa anajua Dogo anaenda United haamini anachokina.
Mi mwenyewe sijui nini kitaendelea kama Ni ETH kachomoa ama Liver wametupokonya. Tutajua baadae.Hivi ni uzembe au kuna plan nyingine??
Yale yale ya FDJ.