Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Magwaya ana nini ambacho sie fans hatukioni ?

Pia ETH hamuelewi pia ndo maana anampiga benchi!

Huyu mwamba timu ya taifa hakosekani na anapangwa ,,,, ! Au ni aina ya watu anaocheza nao ? Ni sawa na Fred kwa Brazil!

Kina Mings, Tomori n.k Wana viwango kumzidi jamaa lakini hawaitwi Mara kwa Mara national team !, Hata Smalling kule roma anafanya vizuri Sana chini ya mourhinho

Chief-Mkwawa
 
Mings mkuu? Reverse role ya Maguire na Mings jana leo ingekuwa ni full matusi kwa Maguire humu ndani. Kahusika sana kutuzawadia yale magoli.

Na mechi zote toka arudi majeruhi kama Jana, West ham etc amecheza vizuri.

Na Maguire sio kinda kwamba ameanza leo, ni CB bora wa Uingereza World cup 2018 na Euro iliopita kuna maajabu gani akienda na World cup hii?.
 
Umerefer Sana form ya zaman,,, sawa Jana kacheza vizuri !!!

VP tomori na Smalling ? Sio kwamba Gareth anafanya gambling ?
 
Makocha wote hao mkuu wanachukua wachezaji wanaofit mifumo yao. Mfano Enrique hajamchukua De gea sababu hawezi kufanya Build up kutoka nyuma.

Southgate tunajua fika anaenda paki basi la maana huko Qatar, Maguire anafit sana huu mfumo sababu unaficha weakness yake ya kutokua na speed, pia Southgate anatumia beki wa 3 sometime wa kati, inakuwa rahisi hata Maguire akipanda kunakuwa na cover.

Flop wetu wote wameshine ligi ya Italia mkuu, sio necessary kwamba Smalling na Tomori ni wachezaji wazuri kuliko Maguire.
 
ok ok najaribu kukuelewa. !!!!
 
Facundo Pellistri inakuaje anaitwa timu ya taifa huku kwetu hapewi muda wa kucheza?
 
Una uhakika au umeropoka tu
Nov 10, 2022. Man Utd vs A.Villa
FB_IMG_16681943959258734.jpg
 
Back
Top Bottom