Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Upo sahihi 100%, ona Chelsea walitumia £300m kusajiri wachezaji ambao hawakujiandaa nao watacheza Aina gan ya football ,hawakuwa na DOF , Sasa hivi ukiambiwa Chelsea imemsajiri Cucurella £62m au Sterling £50m unaweza kubisha

Man u nawatamaniaga Sana mabosi wenu pesa wanamwaga tu ,dirisha moja mnatumia had £250m

Pale Arsenal Ni msimu juz Ndio Arteta Alipewa £150m

Msimu huu £120m

Newcastle nilisoma article moja jamaa wamejipanga kwenye Timu Yao kuanzia DOF had Kocha ,Ni Aina gan ya mpira wacheze na wachezaji gani wasajiriwe

Niliona wanazingatia hasa physicality, height , Ndio maana jamaa timu Yao haina mafundi wengi ukiacha kidogo kina Almiron, Maximin Hawa wazaman, ila kuanzia kina Burn, Botman hata Guimares wapo Vizuri kwenye physicality,

Wanasajiri kuendana na DOF , na Kocha anasemaje

Mtu anaweza kusema Ni sababu Wana pesa

Kuna Northgarm Forrest wametumia £155m msimu huu na wolves wametumia £150m , lakin wapo mkiani, Kama Forrest wamejisajiria ovyo ovyo,
We jamaa kichwa yako kwenye mpira
imejaa madini tupu.
Nikinunua timu daraja la pili nakuchukua uwe DOF, naimani baada ya misimu miwili timu yetu itapanda daraja, ndani ya miaka 5 nikiwa na wewe ninauhakika tunachukua kombe ligi kuu.
 
Leo tunashinda bila shaka ikiwa Ronaldo hatacheza.

Kwa Sababu kuna world cup, alafu yeye ni forward hatataka kuteseka akiumia je?

Yule pellistri aaminiwe leo, kuna wachezaji wengi leo ambao watacheza kimachale machale
 
Nahisi harufu ya damu humu Kuna jitu linaenda kupakatwa......ngoja nijenge mahema kabisa
 
Kosi la maangamizi japo kwa Elanga hapo wamezingua.
Screenshot_20221113-173201.jpg
 
KUNA MTU ANAWEZA KUNISAIDIA ANIAMBIE KWA NINI HUYU KOCHA NI MJINGA KIASI HIKI. GARNACHO, TOMINAY, FRED...SIJUI KWA NINI HAWAANZI ILI TUANGALIE MECHI KWA RAHA. BIA YANGU SASA HAPA NAKUNYWA KWA SHIDAAAA
Wewe ndiye mjinga.
 
KUNA MTU ANAWEZA KUNISAIDIA ANIAMBIE KWA NINI HUYU KOCHA NI MJINGA KIASI HIKI. GARNACHO, TOMINAY, FRED...SIJUI KWA NINI HAWAANZI ILI TUANGALIE MECHI KWA RAHA. BIA YANGU SASA HAPA NAKUNYWA KWA SHIDAAAA
Wacha we.

Kwamba we unajua kuliko kocha?
 
Back
Top Bottom