Acha ni lale tu hapa.Van De Beek again..
Jesus Christ.
Leo kipigo kinatuhusu amna amna sare..Acha ni lale tu hapa.
Hii mechi tushaingia choo Cha kikeLeo kipigo kinatuhusu amna amna sare..
Binafsi naenda kumuangalia tuu martial lkn ushindi apo hakuna
Ten Hag keshaanza kuchanganyikiwa sio siri kaipanga tena takataka ya Mungu inaitwa van de BeekDuu sipotezi mda kwenye kibanda umiza aloo wacha nistream tu nipeni link wakuu.
Kama maumivu wacha nikae nayo geto yakinipata naingia bed nalala kimyaa.
Acha ni lale tu hapa.
Mimi nimetune channel namba 152 naangalia movie ya kinaijeria inahuzunisha sana inaitwa Abortion sitaki stress kabisaRashford ni mnyama...Rashford ni muhuni. Wale haters wa Rashford waje tena na leo.
Rudi...wameingiza first eleven yao lakini tunawawashia moto wa hatari. Wanatamani mpira uishe.Mimi nimetune channel namba 152 naangalia movie ya kinaijeria inahuzunisha sana inaitwa Abortion sitaki stress kabisa
Movie Inahuzunisha halafu hataki stress [emoji3][emoji3]Mimi nimetune channel namba 152 naangalia movie ya kinaijeria inahuzunisha sana inaitwa Abortion sitaki stress kabisa