Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,220
- 44,194
sio jana tu, toka msimu uanze anacheza vizuri, rotation nzuri sana ya Casemiro, Mc tominay akicheza Mbele anakuwa na perfomance nzuri zaidi kuliko akikaa nyuma.Unazungumziaje performance ya mactominay jn??