Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sema mda mwngne tunaujuaji sana mashabiki kila chimbo la Man U lilikua linabeza kikosi cha ETH leo ila kimecheza vzur kuanzia dakika ya 0 mpaka 90 kimecheza kuliko kile cha villa park na Unai hajafanya mabadiriko makuubwa kina Ramsey,Watkins waliotukaanga ndo walewale wa Leo sasa najiuliza tulikwama wapi Villa park Bruno nae sijui anamapepo game nyngne mpaka unataman kumchapa ila game nyngne anakiwasha kama hii ya leo
Gernacho future is Bright...Rash hatukudai leo..Martial unakaa sana offside...Malacia,Maguire Kakichafua MNOO NA KADI JUU ,,UYU KIPA APEWE game nzito tuone uwezo wake villa hawajapiga shot on target nyingii tuone uwezo wake wa saves

FT 4-2
Maguire amecheza vizuri sio..Okay.
 
Tumepewa Burnley.
 
Attachments

  • FhPKBCmXoBYkFQ-.jpg
    FhPKBCmXoBYkFQ-.jpg
    44.9 KB · Views: 21
Ndugu zangau Manchester japokuwa humu ni sehemu ya michezo basi sitokaa nyuma kupeana fursa kwjil ya kujikimu na maisha me nafanya financial market ambayo inahusisha forex,custom,index,stock na crypto lakin katka hpo me nafanya pair mbili index na crypto sio kuw nmesomea hapana mabrokers ambao wanatulink Ili tuingio sokon kupitia wao wamekuja na njia mpya ya kutoa signal kw kukata serviy harge ndo faida yke yeye anapoipata Yan unapewa muda wa kuingia na kutoka unaambiwa ubuy au usell ni biashara ambayo inafaida San na kw haraka saan unabadilisha maisha yko kulingana na mzunguko wake kw mawasiliano zaid contact 0782912118 usipuuze nitafute utaelewa zaida na Kila kitu kipo wasi kuhusu uhalali mikataba broker kusajilia underlinces usalama wa pesa Yako na biashara yko utaona hakuna maana ya kuifadh pesa bank
 
Acha mambo yako hamna kitu kama hicho.
 
Maisha sio rahisi hivi.
 
Hizi ndyo kazi za manyumbu waja laana
 
Tatizo wabongo Kila kitu tunajifanya alafu tunajua ambaye Yuko teyar kujifany ajui na kupokea maarifa ndiye atakuw mjanja ujanja sio kujifany unajua kile ambacho ujui
 
Back
Top Bottom