Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sidhani kama pogba hapendwi sababu ni mchezaji mbaya, na sio kwamba ameondoka man U sababu hana level za kucheza Man u.

Pogba ameondoka man U sababu alikuwa anataka Mshahara mkubwa,na Hapendwi sababu ya drama zake, Agent wake, majeruhi etc. Wote tunajua full fit pogba ni world class.

Just Mechi ya Juzi spurs, mfumo tuliocheza, sababu spurs hawapress highline (zipo timu nyingi Epl kama hivi) tulinchezesha Fred kuwapress kule kule kwao, toka Aje ETH pengine toka Mechi ya leeds mwaka jana Man united haijawahi cheza mpira mzuri kama vs Spurs. Huu mfumo hauwezekani kuchezeka bila Fred, Ama assume wewe ndio Kocha kwa midfield zetu za sasa Mtoe Fred utampanga nani kupress mbele? Mc tominay?, Eriksen? Casemiro? Achana na United, muuze fred unamnunua nani kumreplace Fred ambaye atakua na Quality zaidi ya Fred?

Hizi pressing stats za Fred vs Spurs alifanya kazi ya watu 3.

View attachment 2395463

Kwenye Timu unahitaji Quality mbalimbali, kila mechi ina approach yake na quality fulani inafit mechi fulani.
Mechi ya Arsenal Fred aliingia akabalance team. Team ikatulia.

Pale ndo nikaona umuhimu wake right away. Sema kuna wakati anapotea mpaka unajiuliza.
 
Unataka kusema mourinho alivyokuwa hamtaki Pogba ni Kwasababu ya mshahara ?
 
Nafikiri kucheza Ten Hag anaweza kumpa nafasi out of respect as a gentleman. Yule mholanzi hanaga nongwa na mtu ila anaonekana hana masikhara. Mfumo wa Ten Hag Ronaldo ni mzigo hana energy ya kufanya pressing.

Ronaldo ni legend as a player ila inaonekana ktk maisha yake ya kawaida ni mtu mwenye personality ya hovyo sana. Huwa nakereka sana ninapoona mwanaume anapenda attention pamoja na kuongozwa na hisia kama mtt wa kike.

Kuna muda mambo ktk maisha yanaweza yasiwe yanaaenda upande wako ila kama mwanaume unapaswa kudhibiti akili yako ili hisia zisianze kutawala uwezo wako wa kufanya maamuzi. Ronaldo karuhusu hisia kufanya maamuzi. Hajazoea kutokuwa key player. Pia hataki kukubaliana na nyakati.
Aya
 
Mechi ya Arsenal Fred aliingia akabalance team. Team ikatulia.

Pale ndo nikaona umuhimu wake right away. Sema kuna wakati anapotea mpaka unajiuliza.
Fred weakness yake kubwa ni kupoteza mipira, timu ambayo inatupress sisi ni rahisi yeye kupokonywa mipira, si mzuri kwenye kukimbia press, ila sisi tukiwa ndio tunapress wachezaji wachache sana wana uwezo kama wake, jamaa anakimbia dakika 90 na halalamiki anapiga tu kazi.
 
Ile mechi na Newcastle huyo Fred alikua ni kituko sana.
 
Nawaona Newcastle United pamoja na Eddie Howe nafasi ya nne msimu huu.
Ukimuondoa City msimu huu hizo nafasi tatu hazina mwenyewe ila moja ya timu ninayoipa nafasi kubwa sana ni NU.

Hawa jamaa wapo organized vizuri sana msimu huu kuanzia uongozi wa juu mpaka technical staffs.
 
NU naona upepo upo upande wao leo comte kazi ni kukuna kidevu tu
 
-2-1 win against Liverpool
-3-1 win against Arsenal
-2-0 win against Spurs
-1-1 draw with Chelsea.

Erik ten Hag has proved that he’s the man for the big occasions. [emoji2956]

#GlazerOUT
#GGMU[emoji123][emoji41]

manutd
IMG_20221023_234830_299.jpg
 
Back
Top Bottom