Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,135
- 43,826
Tupo kwenye phase ya mabadiliko, tumetaka Changes lakini bado mashabiki ni ngumu kukubali changes.Timu kubwa kama Manchester United kuwania saini ya mchezaji mmoja kwa wiki 12 bila mafanikio ni aibu kubwa sana.
De jong fee yetu imekubaliwa na Barca kama mwezi sasa, kinachoendelea ni Barca hawataki kumlipa mshahara wake wanataka sisi ndio tumlipe,
Kama club yetu imechange kweli inatakiwa tusikubali, hii itasaidia hata kwa baadae timu nyengine zisitake advantage ya "UTD TAX", waache Chelsea walipe, ili tueke statement ya mabadiliko.
