NEMANJA VIDIC 100%Uyo jamaa beki kuna mpira mmoja jana nakumbuka Kuna mchezaji wa Chelsea aliweka mguu ila yey akaweka kichwa na aka win mpira kabisa afu ana uwezo mkubwa sana wa kupiga pass kitu kingine sio moga kabisa ananikumbusha nemanja vidic japo Kuna vitu wametofautiano ila this man ni mtu na nusu
Mshukuru Mungu mlipata hata draw Nyumbu FC.Ile nguvu iliyotumika kusawazisha goli ndani ya dakika 5 laiti ingetumika kipindi cha kwanza tusingeongelea habari ya draw na hawa kenge.
Wachezaji waliingia uwanjani na mentality ya kutoa sare ndio maana hata walipokua wanaingia ndani ya box walikua wanacheza mdako halafu wanarudisha mpira nyuma, hata wakipata kona wanafanya upuuzi uleule tu.
6-3 loss to city ?-2-1 win against Liverpool
-3-1 win against Arsenal
-2-0 win against Spurs
-1-1 draw with Chelsea.
Erik ten Hag has proved that he’s the man for the big occasions. [emoji2956]
#GlazerOUT
#GGMU[emoji123][emoji41]
manutd View attachment 2395960
Wanajitoa ufahamu6-3 loss to city ?
Mbona unajichekesha mkuu.Futuhi united sc
Halafu anatembua sijui anataka nini !.Mbona unajichekesha mkuu.
Rashford atavuka hii rekodi ya Rooney.Happy birthday to our all-time leading goalscorer: Wayne Rooney! [emoji512][emoji324]
#GlazerOUT
#GGMU[emoji123][emoji41]
manutd View attachment 2396186
Umeanza kushabikia mpira 2014 acha kusumbua watuMatakataka fc.......hivi beki zenu zilikua wapi mpaka mkanywa 6 wajameni