Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,872
- 16,427
Niache nimevurugwa kijana![]()




we jamaa hua unajua kuzitaabisha mbavu zangu aiseeee.Niache nimevurugwa kijana![]()




we jamaa hua unajua kuzitaabisha mbavu zangu aiseeee.Ronaldo hajawahi kumsumbua 10 Hag hata kidogo ila 10 Hag anajua kuwakomesha wachezaji wenye kaliba ya Ronaldo.Hongeren man u , wale wajinga wanachojua kukaa nyuma kusubiria kaunta
Halafu media zinakuja kusema Conte masterclass
I'll Yule Ronaldo anamsumbua Sana Ten hag
mKuu ndio unajua leo mimi Ronaldo nilikuwa namkubali kama Kaka angu vile yani hata kama mtu akiwa anamponda natetea kama ananijua vile ila alipokuwa anaradhimisha kuondoka tena analeta ubinafsi na anagomea kuja mazoezini na mechi za Pre season jamaa nishamchukia mpaka sielewi mwanzo nilikuwa namPendea niniMara nyingi nilikuwa namsapoti Ronaldo ila kwa kitendo alichofanya jana uzalendo umenishinda naona wachezaji wana morali ya juu ya kupambana kitimu yeye analeta mentality za ufather na kumpangia kocha hata kipindi yuko Real Madrid jamaa wakishinda wenzake hata timu ukishinda bila yeye kufunga hana hata raha hata kwenye kushangilia anashangilia kinyonge kiufupi mbinafsi sana na anapenda mafanikio binafsi ..
.Hivi hakuna mazoezi ya kumrefusha mtu mKuu?..?Mechi ya jana ndio mechi ya kwanza ya Man U kuiona kw dk zote 90, Martinez ni mtu sana jamaa anaakili zote ambazo beki mzuri anapaswa kuwa nazo.
hata kama ni surgery tumpereke huyu jamaa tumuongeze viji INCH maana kazi anayopiga inauzidi mwili.
#LUFC #SaintsFC

Niliona, ingekuwa bongo hasa kariakoo derby, hahaha ugomvi mkubwa.jana tumewapelekea moto tot mpaka kibendera katupa ‘advantage’ ya offside!!
Ilipigwa ndefu kwa Kane, Alikuwa offside na kibendera kanyoosha kabisa kibendera but baada ya mpira kumkuta shaw nae kutoa pasi… kibendera kumuona ref kamute nae akashusha chini kibendera mbugi likaendelea mpk mpira ukamkuta Fernandez na akatumbukia kimiani bila ajizi kuandika la pili.
Sijui wangapi walilinasa lile tukio.. jana nimelala kwa raha sana
Kimya kabisa wamekimbiaUmeamkaje leo we jamaa
DeGea anaweza asipewe mkataba mpya.Sema Ten Hag seems hana masikhara kabisa, haangali jina.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Kocha mwenye ujasiri wa kumuweka Ronaldo benchi anaweza kufika mbali.Ronaldo hajawahi kumsumbua 10 Hag hata kidogo ila 10 Hag anajua kuwakomesha wachezaji wenye kaliba ya Ronaldo.
Ronaldo ile dhambi yake ya kuacha kuhudhuria kwenye mazoezi na mechi za pre season ndio inayomtesa kwa sasa.
10 Hag aendelee kushikilia hapohapo ili kudumisha nidhamu ya timu.
Erik ten Hag mechi zake 10 zilikuwa nzito sana kacheza na top 6 zote isipokua Chelsea tu. Kachukua points 9 kati 12 dhidi ya L'pool, Arsenal, City na Spurs.
Na kuna taarifa inadai mazungumzo ya kwanza kabisa ya Ronaldo na Ten Hag ndio yaliyosababisha a-push transfer request. Kuna kila dalili kwamba alimuambia hatakuwa first priority kwa mfumo wake.Glazers ndo walikuwa wanamtaka. Tena kibiashara.
Hakuna mwingine likuwa anamuhitaji. Hasa kocha na wachezaji wenzake.