Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Chief sikuiona hii comment yako ila ukweli unafahamu vizuri kwamba yule dogo sio mchezaji wa kumtegea asilimia 100.

Wewe Chief mimi nakuonaga ni kama mzazi anayemtetea mtoto wake mvuta bangi mbele za watu ila ndani ya nafsi yako unajua kabisa hili toto chenga tu.
Rashford ana miaka sijui 24 tayari ana goli nyingi kushinda malegend kibao vs traditional top 6. mseme unavyomsema hii ni record yake huwezi kumyima, Jamaa ni deadly kwenye counter, sisemi ndio awe main striker wetu ana weakness zake kama mipira ya juu yupo ovyo ukicompare na urefu wake, ila ameprove tayari kwamba you can depend on him kwenye hizi mechi.
 
  1. Newcastle united
  2. Tottenham hostpurs
  3. Chelsea
Sikhofii tena kufungwa kwa manchester united bali nakhofia kutokufanga magoli kwa manchester united.

Hiyo ndio tathmini yangu ya mechi 3 zilizopita.

Nimesikia familia ya glazer hawatokuwa na hela kwa dirisha la january.

Si haki kabisa.
Hapa hawana option, nina uhakika Ronaldo anaondolewa kikosini mwezi wa kwanza. Hili ni jambo ambalo familia ya Glazer hawakuli-anticipate.

Timu ni lazima iingie sokoni la si hivyo presssure itakuwa kubwa sana ya wao kuuza timu. Jim Ratcliffe kawaambia muda wowote wakiwa tayari kuuza timu Pound 6B ipo mezani.

Kuna interview yake moja juzi Jim Ratcliffe alisema aliongea na Joel pamoja Avram Glazer kama wapo tayari kumuuzia ila walimwambia hawauzi na hawakutaka mazungumzo yoyote yale yaendelee. Chini ya maji wanajua wakifanya ujinga Jim Ratcliffe atatumia hii fursa kuwa-force wamuuzie.

Rashford ana miaka sijui 24 tayari ana goli nyingi kushinda malegend kibao vs traditional top 6. mseme unavyomsema hii ni record yake huwezi kumyima, Jamaa ni deadly kwenye counter, sisemi ndio awe main striker wetu ana weakness zake kama mipira ya juu yupo ovyo ukicompare na urefu wake, ila ameprove tayari kwamba you can depend on him kwenye hizi mechi.
Miaka 24 sio kinda ktk mpira huu ni umri wa kubeba timu. United sisi sio timu ya kukubali mediocrity tunafaa kuwa na wachezaji wanaojua kumaliza kazi.

Ndio maana ninapowananga wachezaji kama Fred, Shaw, Degea n.k sio kwamba ni wabovu ila kwa standard za United sisi tunacheza kushinda makombe.

Tunahitaji kuona mchezaji ktk mechi 50 mpaka 60 ndani ya msimu basi unakua na siku mbaya labda gemu 5 ila sio zaidi ya 10.
 
Ningekuwa Tenhag ronaldo asingecheza milele chini yangu. Yani milele asingeingia uwanjani milele.

Hao wanaopiga kelele waanzishe timu zao wamuweke ronaldo awape makombe.
Nafikiri kucheza Ten Hag anaweza kumpa nafasi out of respect as a gentleman. Yule mholanzi hanaga nongwa na mtu ila anaonekana hana masikhara. Mfumo wa Ten Hag Ronaldo ni mzigo hana energy ya kufanya pressing.

Ronaldo ni legend as a player ila inaonekana ktk maisha yake ya kawaida ni mtu mwenye personality ya hovyo sana. Huwa nakereka sana ninapoona mwanaume anapenda attention pamoja na kuongozwa na hisia kama mtt wa kike.

Kuna muda mambo ktk maisha yanaweza yasiwe yanaaenda upande wako ila kama mwanaume unapaswa kudhibiti akili yako ili hisia zisianze kutawala uwezo wako wa kufanya maamuzi. Ronaldo karuhusu hisia kufanya maamuzi. Hajazoea kutokuwa key player. Pia hataki kukubaliana na nyakati.
 
Miaka 24 sio kinda ktk mpira huu ni umri wa kubeba timu. United sisi sio timu ya kukubali mediocrity tunafaa kuwa na wachezaji wanaojua kumaliza kazi.

Ndio maana ninapowananga wachezaji kama Fred, Shaw, Degea n.k sio kwamba ni wabovu ila kwa standard za United sisi tunacheza kushinda makombe.

Tunahitaji kuona mchezaji ktk mechi 50 mpaka 60 ndani ya msimu basi unakua na siku mbaya labda gemu 5 ila sio zaidi ya 10.
huyo fred unaemponda Brazil piga ua anaanza na ni favourite wa world cup, mchezaji ambaye mechi 60 anacheza mbaya 5 unaongelea level za world class huwezi wapata 11 unless una hela kama za Man city na PSG wachezaji wanaolipwa na Taifa. Eriksen na uwezo wote aliouonesha toka asajiliwe tayari ameshatimiza mechi 5 alizocheza vibaya na ndo kwanza msimu hata kati bado.

na sijui kama umenielewa hoja yangu vs Rashford jamaa tayari ameshavunja record za Ma legend akiwa na miaka hio, kuna watu wamecheza Man u mamia ya mechi wanafunga kila siku ila vs timu kubwa output yao ni ndogo sana, Rashford ni vice versa yeye vs timu kubwa ndio anafunga zaidi.

na mashabiki wengi ni vigeu geu dakika kadhaa tu mnasahau timu imetoka wapi, imefanikiwa nini na inaelekea wapi, msimu uliopita tulicheza vibaya sana, tulikuwa na striker anafunga magoli alikaribia kuwa top scorer kabisa lakini as a team tulikuwa ovyo, ila kocha mpya amekuja na hili ni tatizo la kwanza kulifanyia kazi, tucheze kitimu zaidi, akaamua striker wake atakuwa ni hard worker zaidi kuliko mmaliziaji, unaweza ukaona sasa hivi timu haifungi ila ukamsajili huyo unayeona atafunga ikawa unaharibu timu zaidi.

kwa nilivyomuelewa ETH kuna uwezekano asije striker sio January tu hata dirisha kubwa anaweza asije na badala yake akaja Gakpo ambaye ni winger mould hizo hizo za kina Rashford. ipo benefit ya kucheza na wachezaji watatu ama wanne mbele ambao wote ni hard workers, just mechi iliopita ya spurs umeona mziki wake, na hata leo tulikuwa hatuna nguvu kama spurs ila tuliwadhibiti vizuri tu,
 
Hapa nakubaliana na wewe 100%. Binafsi huwa siupendelei sana mpira wa kuwa na mshambuliaji wa kuganda mbele kama barafu.
 
We ni boya kama hao kina Rio.

Ronaldo ameshaisha. Akiwa uwanjani hakuna anachofanya. Amewekwa benchi anaambiwa aingie sub anakataa.e

Yeye ni nani kama si mpumbavu? Unaambiwaje na kocha uingie unakataa?

Kama ni star sana mbona ametaka kuondoka na hakuna wa kumchukua?

Acheni ujinga nyie fans wa Ronaldo.
Cr7 ni muchezaji mukubwa mwenye profile kubwa hakuna wa kumuambia chochote huyu ameshashinda kila kitu yule kipara wenu 10hag atamwambia nini?
 
Tunatoa draw ya 5 mfululizo na hawa cheltako aise.View attachment 2394992
Ile nguvu iliyotumika kusawazisha goli ndani ya dakika 5 laiti ingetumika kipindi cha kwanza tusingeongelea habari ya draw na hawa kenge.
Wachezaji waliingia uwanjani na mentality ya kutoa sare ndio maana hata walipokua wanaingia ndani ya box walikua wanacheza mdako halafu wanarudisha mpira nyuma, hata wakipata kona wanafanya upuuzi uleule tu.
 
HIi manjestaa bila cr7 kwa kweli sion kama kuna sehemu mutatoboa popote pale. Maana kama jana mumeupiga mwingi na mumeshindwa maliza game mapema nyie bado ni takataka tu na cr7 angekuwepo basi mungeongea mengine leo. Huyu kipara wenu anajikuta sijui mambo ya nidhamu wakati anajua kabisa uwezo wa cr7 siyo wa kawaida. Huyu siyo muchezaji wa kuingizwa dkk ya 80 huyu anapaswa kukipiga mwanzo mwisho. Hii manjestaa itagawanyika na kupoteana kama cr7 hatocheza timu kubwa.
 
Sema nyie matakataka bado ni matakataka tu muna timu dhaifu sana. Maana jana tumeweka kikosi B lakini mumeshindwa kufua dafu🤥🤥🤥
 
Ile nguvu iliyotumika kusawazisha goli ndani ya dakika 5 laiti ingetumika kipindi cha kwanza tusingeongelea habari ya draw na hawa kenge.
Wachezaji waliingia uwanjani na mentality ya kutoa sare ndio maana hata walipokua wanaingia ndani ya box walikua wanacheza mdako halafu wanarudisha mpira nyuma, hata wakipata kona wanafanya upuuzi uleule tu.
Uwezo ndio umeishia pale wewe nyumbu ..hakuna nguvu yeyote ilitumika pale, ni butua butua zenu tu mukabahatisha kusawazisha
 
Back
Top Bottom