Hawa washambuliaji weusi wengi wao huwa wazito sn na sio creative.There are lot of clubs interested in Jeremie Frimpong. He has been pre-selected for Holland national team, and he scored again in the weekend [emoji837][emoji102] #transfers
Current deal expires in 2025 - Manchester United sent their scouts to follow him as per Plettigoal, as many other clubs.
#GlazerOUT
#GGMU[emoji123][emoji41]
manutd View attachment 2396926
True.
We Saint Anne ntakuchapa wwTimu la mchongo mchongoma
Jamaa namkubali sema analeta itikadi za kiDemu (Hataki Nataka)True.
[emoji1488] yeah my guyAnthony Martial arrives at Carrington this morning [emoji102]
#GlazerOUT
#GGMU[emoji123][emoji41]
manutd View attachment 2397299
Haitobadilisha kwamba jamaa ammecheza soka kwa mafanikio makubwa sana na kila mtu anaejihusisha na football dunia kuna wakati anatamani angekua yeye(Ronaldo).Habari za pele na maradona tunazikubali lkn kwa Generation hii. RONALDO DID what is needed to be done .Erik ten hag maybe anaumia pale manchester inaposhinda na Ronaldo akiwa sehemu ya timu pale vyombo vya habari vinapo mpa Christiano airtime zaidi ( Ronaldo helped mufc to win agaist .......) i think ndo vitu hataki kuviona anataka yeye ndo awe front pageHii Hali ilitukuta Arsenal kipind Arteta ameamua kuwafurumusha Auba na Ozil, alipokea maneno mengi ,Lakini alisamama na msimamo wake
Tena Ten hag naona ana kahuruma kiasi, nimeona sehemu eti aombe msamaha ,huyu alitakiwa asicheze Tena Hadi akimbie mwenyewe ,huyu kwa kosa lile la kwanza ,na Lile la preseason ilitakiwa hata mech za Europa asiguse ,apigishwe warm up halafu anarudisha bench
Auba na Ozil wanaelewa kilichowakuta , hata carabao walikuwa hawachezi, na kila week wanawekewa £350k , had Auba akaenda kupiga magoti kwa Rais was Barca asajiriwe ,
Ronaldo amshukuru Ten hag hata Europa anacheza,kwa matukio yake yakujifanya mkubwa kuliko klabu ,alitakiwa aminywe iwe fundisho .
Fans wa Ronaldo mna shida sana,ingekua hivyo hadi leo Pele angekua anapata nambaHaitobadilisha kwamba jamaa ammecheza soka kwa mafanikio makubwa sana na kila mtu anaejihusisha na football dunia kuna wakati anatamani angekua yeye(Ronaldo).Habari za pele na maradona tunazikubali lkn kwa Generation hii. RONALDO DID what is needed to be done .Erik ten hag maybe anaumia pale manchester inaposhinda na Ronaldo akiwa sehemu ya timu pale vyombo vya habari vinapo mpa Christiano airtime zaidi ( Ronaldo helped mufc to win agaist .......) i think ndo vitu hataki kuviona anataka yeye ndo awe front page
Hamna kitu hapo, anakula hela za bure tuuu.[emoji1488] yeah my guy
Kweli kabisa, ila ujinga aache na akubali umri umeenda japo bado yuko yuko fit.Haitobadilisha kwamba jamaa ammecheza soka kwa mafanikio makubwa sana na kila mtu anaejihusisha na football dunia kuna wakati anatamani angekua yeye(Ronaldo).Habari za pele na maradona tunazikubali lkn kwa Generation hii. RONALDO DID what is needed to be done .Erik ten hag maybe anaumia pale manchester inaposhinda na Ronaldo akiwa sehemu ya timu pale vyombo vya habari vinapo mpa Christiano airtime zaidi ( Ronaldo helped mufc to win agaist .......) i think ndo vitu hataki kuviona anataka yeye ndo awe front page
Walete haoBack in Europa League action at Old Trafford! [emoji109]
#GlazerOUT
#GGMU[emoji123][emoji41]
manutd View attachment 2397256