Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Skieni sasa ..sisi hatuna cha kupoteza tena. Tunasubiri mkae mkao ule wa amza kafia ubalozini tuwanywe mabao ya kutosha. Munekuja geto menyewe, munakuka munashiba alafu munamegwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jinga wewe
 
Sababu ya kuanza kwenye national team sio sababu bro hata Pogba alikuwa anaanza national team ya ufaransa na Hadi kubeba world cup Ila alikuwa hapendwi United.


Jengeni hoja nje ya kuanza kwenye national team
 
Under ETH kuna development kubwa Sana ndani ya team, kuanzia uchezaji,organization, , pressing, mentality n.k !!!!

Wako wapi wale washenzi waliosema Casemiro haendani na kasi ya EPL ? Nadhan mmemuona kwenye hizi game mbili,,,

Vs Spurs
Vs Chelsea ,,,,

Trust the process,,,,

#GGMU
 
Nyie manyumbu mnaona raha kuchomoa mkisha chomekwa
naona kuna mtu alikuwa anashangia kuchomoa au alikuwa anasikiliziq utamu
 
Mkuu chagua moja huwezi kusupport pande zote ni aidha Ronaldo kakosea au Ten hag kakosea kumuadhibu ronaldo.

Mambo ya kusema unaunga mkono japo hau support upuuz huo ni undumila7 kuwili.
Pale OT sio kesi ya Ronald tu, hata Rashford ikitokea amekuja stricker matata atakaa bench tu.

Ten Hag yupo sahihi....na nadhani itatakiwa cr7 akae bench mechi za kutosha...aende akafanye mazoez pekeake huko anapopajua yeye.

Si mnaona hata mazoez, au warm-up anafanya pekeake?

Ten Hag alisoma sababu za makocha wazoef vya kutosha (vanguard, morinyo, RR) kuishindwa hii club.

Aligundua Nina hakika aliona Pogba, martial na wengine walikuwa na viburi vya hovyo. Atakuwa ameona ni upuuzi mkubwa.
 
Humu baada ya kujadili timu iuzwe mgawane hela mnajadili upuuzi tu
nyie kweli manyumbu
mna D nyingi kama Mia Khalifa
 
Its not the size of the dog in the fight, it’s the size of the fight in the dog”
View attachment 2395427
Uyo jamaa beki kuna mpira mmoja jana nakumbuka Kuna mchezaji wa Chelsea aliweka mguu ila yey akaweka kichwa na aka win mpira kabisa afu ana uwezo mkubwa sana wa kupiga pass kitu kingine sio moga kabisa ananikumbusha nemanja vidic japo Kuna vitu wametofautiano ila this man ni mtu na nusu
 
Sababu ya kuanza kwenye national team sio sababu bro hata Pogba alikuwa anaanza national team ya ufaransa na Hadi kubeba world cup Ila alikuwa hapendwi United.


Jengeni hoja nje ya kuanza kwenye national team
Sidhani kama pogba hapendwi sababu ni mchezaji mbaya, na sio kwamba ameondoka man U sababu hana level za kucheza Man u.

Pogba ameondoka man U sababu alikuwa anataka Mshahara mkubwa,na Hapendwi sababu ya drama zake, Agent wake, majeruhi etc. Wote tunajua full fit pogba ni world class.

Just Mechi ya Juzi spurs, mfumo tuliocheza, sababu spurs hawapress highline (zipo timu nyingi Epl kama hivi) tulinchezesha Fred kuwapress kule kule kwao, toka Aje ETH pengine toka Mechi ya leeds mwaka jana Man united haijawahi cheza mpira mzuri kama vs Spurs. Huu mfumo hauwezekani kuchezeka bila Fred, Ama assume wewe ndio Kocha kwa midfield zetu za sasa Mtoe Fred utampanga nani kupress mbele? Mc tominay?, Eriksen? Casemiro? Achana na United, muuze fred unamnunua nani kumreplace Fred ambaye atakua na Quality zaidi ya Fred?

Hizi pressing stats za Fred vs Spurs alifanya kazi ya watu 3.



Kwenye Timu unahitaji Quality mbalimbali, kila mechi ina approach yake na quality fulani inafit mechi fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…