Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 22,368
- 33,785
Kwani hamchezeshi ?Si kweli kwamba CR7 ameisha kihivyo, huyu ETH naomba nae aangaliwe sana,
Man U mashabik tumekuwa wajinga sana
Kwani hamchezeshi ?Si kweli kwamba CR7 ameisha kihivyo, huyu ETH naomba nae aangaliwe sana,
Man U mashabik tumekuwa wajinga sana
Cheki hii takataka la arse8 tukimaliza kuwapakata hawa mabasha zako basi mujiandae na nyie maana ukuni utatembezwa na kwenu pia😡😡😡Kuna mdau alisema, Chelsea wana matobo mengi
Tactically ni kweli
Hapa naona ushindi kwenu au draw
Deep inside
Wanangu nyumbu, nipigieni hizi kenge za London
hakuna kitu humuDalot hajatulia kabisa..
Kaa kwa kutuliaCheki hii takataka la arse8 tukimaliza kuwapakata hawa mabasha zako basi mujiandae na nyie maana ukuni utatembezwa na kwenu pia[emoji35][emoji35][emoji35]
Tuchel sio kocha, halafu hayo ni maoni yenu wewe na Roy binafsi improvement naiona kuanzia mchezaji mmoja mmoja, technical bench na timu kwa ujumlaKuna mtu nilimwambia ile performance ya man u dhidi ya Spurs inabidi asubiri mech kama 3 aone Kama itajirudia Ndio ahakikishe Man u imeimarika
Hata Tuchel alikuwa na mpira wa ovyo Sana msimu huu, Lakini alipocheza na Spurs , Wana Chelsea wengi waliamin Sasa Chelsea imerejea ,baada ya ile mech Tuchel aliendelea kucheza ovyo had akatimuliwa.
Leo Roy Keane kaongea kitu nilichokuwa nakifikiria
Roy Keane: “Everyone was saying after the Spurs game it was Manchester United’s best performance in years. Absolute rubbish. Spurs were terrible.” [sky] #mufc
Tumepigwa dhahiri pale ..Lingard is better than Sancho.
Bila bilaNgap ngap