buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,126
- 13,106
Hahaha 😂😂Chief-Mkwawa humwambii kitu kwa Rashford .
Hahaha 😂😂Chief-Mkwawa humwambii kitu kwa Rashford .
Me nakushangaa wew mwamba, unaesema lingard better than Sancho, uko serious!!???We jamaa kashabikie wakina Konde boi kwenye soka mweupe kabisa.
Ni Lindelof Varane Out.Maguire anapasha Varane majeruhi..
Maguire bisaka january watafute timu tuMaguire anapasha Varane majeruhi..


wordcup bai baiVarane analia placenta imepasuka
Atakae bisha ni CHIZILingard is better than Sancho.

man wanaonekana kabisa hawakuwa na sub wamefosi tui rashidi na ericsen walikuwa vizuriMc Tominey si mzuri kuzuia