Ntalukwilasa
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 991
- 1,284
Alitaka tufungwe ....
Unajiuliza tominay alikuwa anafikiria nini unashindwa kuelewa kabisa.
Alitaka tufungwe ....
Unajiuliza tominay alikuwa anafikiria nini unashindwa kuelewa kabisa.
Inashangaza kwa kweli
Unajiuliza tominay alikuwa anafikiria nini unashindwa kuelewa kabisa.
Atakuwa ka bet
Unajiuliza tominay alikuwa anafikiria nini unashindwa kuelewa kabisa.
Kuna ufala mwingi sana ulikua unafanyika kipindi cha kwanza.Fairly man utd deserved a win for this match ni ujinga wa vijana wachache tu kujichekesha kwenye 18 ya timu pinzani. It could be 0-2 kama vijana wangekua serious pale mbele
Ushabiki bhana 😂Penalty ya mchongo
Wala sio ya mchongo, ule ni upuuzi wa wazi alioufanya McTominay ndani ya box.Penalty ya mchongo
Huyu kocha apewe muda, timu imeanza kucheza kitimu sasa.
Sanaa... Mpaka sasa rashford nadhani yupo ni kwa sababu ya uingereza wake tu otherwise i don't see him in first elevenKuna ufala mwingi sana ulikua unafanyika kipindi cha kwanza.
Hii game ilitakiwa iwe imemalizika mapema sana ndani ya dakika 45 za kipindi cha kwanza ila naona wachezaji wetu waliingia uwanjani na mentality ya kutoka sare.
Mzee wa kazEriksen anarudi kikosini