Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nyieee swala la cR7 limekuwa headlines huko [emoji23] Mungu mtu na waumini wake wana Sumu hatari [emoji23].

"Cristiano Ronaldo last season scored 28 goals in 34 matches, this shows that he carried a lot, suddenly how does he end up like that and you throw him on the bench? Ronaldo still has the ability to play 90 minutes and is the best scorer there is."

- Alan Shearer, EPL Legend.

#GlazerOUT
#GGMU[emoji123][emoji41]

manutd
Naunga mkono hoja japo upuuzi huwa sipendi.
 
Hii Hali ilitukuta Arsenal kipind Arteta ameamua kuwafurumusha Auba na Ozil, alipokea maneno mengi ,Lakini alisamama na msimamo wake

Tena Ten hag naona ana kahuruma kiasi, nimeona sehemu eti aombe msamaha ,huyu alitakiwa asicheze Tena Hadi akimbie mwenyewe ,huyu kwa kosa lile la kwanza ,na Lile la preseason ilitakiwa hata mech za Europa asiguse ,apigishwe warm up halafu anarudisha bench

Auba na Ozil wanaelewa kilichowakuta , hata carabao walikuwa hawachezi, na kila week wanawekewa £350k , had Auba akaenda kupiga magoti kwa Rais was Barca asajiriwe ,

Ronaldo amshukuru Ten hag hata Europa anacheza,kwa matukio yake yakujifanya mkubwa kuliko klabu ,alitakiwa aminywe iwe fundisho .
Auba na Ozil ni wadogo kwa Ronaldo hawana nguvu kubwa katika soka, hawawezi kumyumbisha kocha kivile japo siungi mkono upuuzi aliofanya Ronaldo.
 
Auba na Ozil ni wadogo kwa Ronaldo hawana nguvu kubwa katika soka, hawawezi kumyumbisha kocha kivile japo siungi mkono upuuzi aliofanya Ronaldo.
Mkuu chagua moja huwezi kusupport pande zote ni aidha Ronaldo kakosea au Ten hag kakosea kumuadhibu ronaldo.

Mambo ya kusema unaunga mkono japo hau support upuuz huo ni undumila kuwili.
 
Kama mnavojionea mzoga wa Liverpool unavopita mbele yenu, nanyi pia zamu yenu inakuja.

Chelsea tunakwenda kuwabandua
 
Kuna watu wanashangaza sana mkuu. Pengine kuna watu hawataki kusikia wala kuamini kuwa Ronaldo wa leo sio yule wa juzi wala wa jana. Wanataka apangwe tu kwenye timu kwakuwa ni 'Ronaldo'.

Wanaishi kwa historia ya miaka ya nyuma.

In fact jamaa kwa sasa sioni kama anaweza kuwa na msaada kwenye timu tena.
 
Muda wa mtu kupapaswa.
Screenshot_20221022-173133.jpg
 
Back
Top Bottom