Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Rashford ana Consistency angalia kwa jicho jengine. Mechi zote hizi kubwa kina Liver, Arsenal, Spurs ambazo tumeshinda ni key player. Kikosi kikiwa kikubwa kila mchezaji atakua na role yake.
Chief sikuiona hii comment yako ila ukweli unafahamu vizuri kwamba yule dogo sio mchezaji wa kumtegea asilimia 100.

Wewe Chief mimi nakuonaga ni kama mzazi anayemtetea mtoto wake mvuta bangi mbele za watu ila ndani ya nafsi yako unajua kabisa hili toto chenga tu.
 
Manchester united ndo timu pekee tulio malizana na big 5 wote wakubwa watu walitaka kujua ten hag anaweza kutoboa hapa na ugeni wake.

Jamaa kawa prove wrong tumepoteza dhidi ya city tu.

Naona ten kumi akiendelea kupika vitu vyake.
 
Kuna mashabiki maandazi watakuja hapa kumtukana 10 hag kwa draw ya leo..

Ofcoz tulistahili kushinda lakini ni game ya pili mfululizo tunapres sana,na timu ipo strong hasa kiungo,eneo lililotutesa miaka mingi.

Nadhani kama Ronaldo angeondoka tangu July huenda tungepata striker wa kueleweka,na ndo kazi kubwa ya Ten hag kwa January,asimtegemee saana Martial tia maji.

Trust the process,tunacheza mpira unaonekana,basi tu kule mbele hasa upande wa kushoto kuna utoto mwingi wa Sancho.
 
Sanaa... Mpaka sasa rashford nadhani yupo ni kwa sababu ya uingereza wake tu otherwise i don't see him in first eleven
Natamani Garnacho awe anapewa hata dakika 15 za kipindi cha pili.
Huyu dogo kuna kitu miguuni anacho, anatakiwa aanze kupewa nafasi kama Carvalho wa Liverpool, huenda akatusaidia kuliko hawa kina Rashidi.
 
We ni boya kama hao kina Rio.

Ronaldo ameshaisha. Akiwa uwanjani hakuna anachofanya. Amewekwa benchi anaambiwa aingie sub anakataa.

Yeye ni nani kama si mpumbavu? Unaambiwaje na kocha uingie unakataa?

Kama ni star sana mbona ametaka kuondoka na hakuna wa kumchukua?

Acheni ujinga nyie fans wa Ronaldo.
 
Rashford sio mchezaji wa kumtegemea .

#Ova
 
Rafaela Pimenta tells Sky Sport: “Release clause for Haaland? I can’t comment about that. He’s really top, top guy. His father is the secret” [emoji599][emoji838]

…but yes, release clause is there — valid from 2024 for €200m.
 
TenHag akipewa muda kama aliopewa Ole natumai ataleta mafanikio makubwa coz naona timu inacheza kitimu na hana kulea wachezaji wakizungua ,kapiga benchi Maguire , Ronaldo ,Elanga alikuwa anampa nafasi ya kuanza naye alipozidisha utoto sasa yuko benchi.

Akifanya marekebisho katika kikosi akapata players anaowataka na kuwa na kikosi kipana huyu kocha ataifikisha timu mbali.
 
Ningekuwa Tenhag ronaldo asingecheza milele chini yangu. Yani milele asingeingia uwanjani milele.

Hao wanaopiga kelele waanzishe timu zao wamuweke ronaldo awape makombe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…