Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Pole pole point zetu zinaingia. Angekua ole angeacha hadi kikosi apangiwe.

Ronaldo anavuna mkwanja mrefu, aache attitude mbona akiwa fresh anaweza kula dili la kocha mchezaji mambo yakaenda fresh. Vimechi vya hapa na pale.

Sasa unaanza kumpandia kocha kichwani ili iweje? Yeye ndio Boss, wewe ni mchezaji kama jina kubwa anzisha timu yako.

Mathieu Flamini yupo na USD billions 14, kimya kimya maisha yanaenda bila makamera hela ambayo sidhani Ronaldo atakuja ishika kwa attitude hiyo.

Maana umaarufu wake anautumia kujipatia kipato, ila attitude itafanya waone huyu kumuhimili kazi.

Messi alitulia zake hata Mbappe alipomuudhi akaachia mashabiki.

Dogo Greenwood uchoyo kidogo, jamaa kamnaga na kumuunfollow kabisa.

Wengine wana bahati asee.

500k per week alafu analeta ushubwanda na upo ligi inayofuatiliwa sana duniani.

Basi aende Saudi Arabia or Ureno uchochoroni awe anaonekana UEFA tu.

Ten Haag kaza. Bado Bruno aonywe.
Iyo ela flamini kaipata wapi

Kwani bado anacheza
 
Rashford ana Consistency angalia kwa jicho jengine. Mechi zote hizi kubwa kina Liver, Arsenal, Spurs ambazo tumeshinda ni key player. Kikosi kikiwa kikubwa kila mchezaji atakua na role yake.
Ana makosa mengi sana ya kiufundi, sio lazima uwe kocha kulitambua hilo, labda kama atabadilishiwa namba acheze chini au beki mbili lkn co forward, inahitaji akili nyingi kucheza mbele.
 
Bruno ni loyal follower wa Ronaldo lakini Bruno ni very disciplined na anaipenda United.

Kumbuka kabla ya kuja Ronaldo Bruno alikuwa ndiyo mchezaji aliyekuwa na influence kikosini na ndiye aliyekuwa akiamua matokeo ya mechi nyingi za United.

Kuja kwa Ronaldo kuliua sana influence ya Bruno kikosini na kuna wakati huwa na associate kushuka kiwango kwa Bruno na ujio wa Ronaldo.

Kuondoka kwa Ronaldo kutaifanya timu icheze kwa uelewano mkubwa zaidi na Bruno atarudi tena kwenye ubora wake. Kuja kwa Ronaldo kulimuondoa Bruno kupiga free kicks, kulimwondoa kupiga penalty lakini pia kulimweka kwenye spotlight ya kukosolewa zaidi timu isipofanya vizuri ili kulinda legacy ya CR7.
 
Ana makosa mengi sana ya kiufundi, sio lazima uwe kocha kulitambua hilo, labda kama atabadilishiwa namba acheze chini au beki mbili lkn co forward, inahitaji akili nyingi kucheza mbele.
Rashford ni proven big game player, mechi 3 hizi msimu huu tunahsinda na zote ana mchango mkubwa sana, msimu uliopita tumestruggle sana vs top 6 sababu kubwa ni Yeye na Martial kukosekana kwao. timu ikishakamilika kila mtu ata assume role yake na watarotate kutokana na strength zao.
 
Bruno ni loyal follower wa Ronaldo lakini Bruno ni very disciplined na anaipenda United.

Kumbuka kabla ya kuja Ronaldo Bruno alikuwa ndiyo mchezaji aliyekuwa na influence kikosini na ndiye aliyekuwa akiamua matokeo ya mechi nyingi za United.

Kuja kwa Ronaldo kuliua sana influence ya Bruno kikosini na kuna wakati huwa na associate kushuka kiwango kwa Bruno na ujio wa Ronaldo.

Kuondoka kwa Ronaldo kutaifanya timu icheze kwa uelewano mkubwa zaidi na Bruno atarudi tena kwenye ubora wake. Kuja kwa Ronaldo kulimuondoa Bruno kupiga free kicks, kulimwondoa kupiga penalty lakini pia kulimweka kwenye spotlight ya kukosolewa zaidi timu isipofanya vizuri ili kulinda legacy ya CR7.
Bruno yule mfia timu ,mimi nahisi ndio mchezaji anayeumia kuliko wote timu inapofungwa jamaa akirudisha utulivu wake kama wa kidini ile ya mwanzo patanoga sana.
 
27/08/2021

Juventus are waiting for Man City official bid to arrive in the next hours to reach an agreement as soon as possible. Ronaldo wants to leave and he won’t be available for next match.

Mendes is now discussing Ronaldo’s contract with Man City.

Baada ya hapo babu yenu Ferguson alipagawa akafanya usajili wa kukurupuka wa Ronaldo [emoji23][emoji23][emoji23]Leo kashaleta vita na ETH,tutaona Nan mbabe kati ya cr7 vs ETH....

Kumbuka mguu mmoja wa kushoto wa Cr 7 ni mkubwa na unahistoria kumzud ETH na man utd yote kwa ujumla ...
 
Ten Hag on Ronaldo removed from squad: "It will have a reflection for him, but also for everyone". [emoji837][emoji1201]

"First time with Rayo wasn’t acceptable, but he wasn’t only one. The second time has consequences. Football is a team sport and you have to respect standards".

#RonaLdoOUT
#GlazerOUT
#GGMU[emoji123][emoji41]

manutd
 
Kumbe hata ULAYA kuna ma CHAWA [emoji23][emoji23]?..? ila Maisha [emoji23][emoji23][emoji23]

#RonaLdoOUT
#GlazerOUT
#GGMU[emoji123][emoji41]

manutd
IMG_20221021_225617_728.jpg
 
Huyu ana kiburi sana.
EtH ni kocha safi sana, akiendelea hivi atafanikiwa. Nidhamu ni kitu muhimu sana.

Huyu ten hag hatofika mbali ni lazima tukubali kwanza Ronaldo ana mafanikio makubwa kuliko yeye kwenye mpira wa miguu anastahili heshima kilichopo pale wala sio kiwango cha Ronaldo but ni chuki binafsi .Tujifunze kuthamini kazi kubwa walizofanya watu mpk wakafika walipo bila kuwachukia
 
Kila napo pita watu wanafuraha kweri kweri[emoji16][emoji16] kuuliza kunani leo wanasema.

Manchester united inacheza leo na dunia nzima wana furaha[emoji16][emoji16]

Prediction

Chelsea 1 vs Manchester united 2

Muda

[emoji355] 1:30 jioni

[emoji909]Stamford bridge

Last match

Chelsea 1 vs Manchester united 1
20221022_072359.jpg
 
Back
Top Bottom