Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

🤣🤣🤣 Hakuna rangi tutaacha kuona, kweli Manjesta inachekesha kama sio timu yako.
Hakuna kitu inanaiuma na imenikosesha kabisa hamu ya Mpira kama Arsenyau kubeba kombe kwa dhulma, yaani timu haipati points 3 mpaka wapate mipira ya kona halafu wamsongesonge kipa ndio wapate goli.
Arsenyau mmeinajisi Epl kiasi kwamba imepoteza mpaka mvuto.
Mbuzi katoliki nyie.
šŸ˜…šŸ˜…šŸ˜… na bado
 
šŸšØāŒ Alejandro Balde, Marc Casadó and Hector Fort are not in Barcelona matchday squad for today’s game vs Elche.

They all have chances to leave Barcelona before the end of the window. Fabrizio Romano (@FabrizioRomano) on X
— Fabrizio Romano (@FabrizioRomano)
Aug 23, 2026
Sijui Casado namwona mimi peke angu
 
downloadfile-4.jpg
 
Kabla ya msimu kuanzia majirani mlikua mnasema msimu huu mnabeba ligi, hasa ukizingatia michezo ya mwisho carrick alivyochukua timu.

Kuna mwingine akafika mbali zaidi akasema laiti amorim angefukuzwa mapema, yani carrick angechukua timu mapema basi mngekuchukua ubingwa

Swali langu n hili hapa "nyumbu ni wachezaji wa Manchester united au mashabiki wa Manchester united?"
 
Naona tetesi tunaweza kusajili LB lewis hall au balde
Pia striker tutasajili
Game ya tano zijazo tutashinda na confidence itarudi
Lkn binafsi INEOS inabidi km wamemuamini carrick basi wawe wamemchunguza vizuri, nitamuhukumu carrick baada ya mechi tano zijazo
 
Mkomeni Balde wetu, kwanza ashawakataa hawataki
6207.jpg

Naona tetesi tunaweza kusajili LB lewis hall au balde
Pia striker tutasajili
Game ya tano zijazo tutashinda na confidence itarudi
Lkn binafsi INEOS inabidi km wamemuamini carrick basi wawe wamemchunguza vizuri, nitamuhukumu carrick baada ya mechi tano zijazo
 
Naona tetesi tunaweza kusajili LB lewis hall au balde
Pia striker tutasajili
Game ya tano zijazo tutashinda na confidence itarudi
Lkn binafsi INEOS inabidi km wamemuamini carrick basi wawe wamemchunguza vizuri, nitamuhukumu carrick baada ya mechi tano zijazo
Lewis Hall wamsema hauzwi
 
Back
Top Bottom