Ronaldo muda umemtupa mkono, kiwango kimeisha.Hv Ronaldo ni Ujinga gan kafanya, kuna namba Tisa gan pale United ya kumkarisha Ronaldo bench ? Magoli mengi yanafungwa na midfielders , ina mana kocha kakubali kumweka Ronaldo bench ili midiflders wafanye covering .... Ngoja tuone
Kumbuka hata van magoli halitokea huko huko mchangani.Ni kweli hatuwez kumpima kwa mech 1, but Hizi Ligi lain Kuna muda zinatudanganya Sana
Unaweza kubeba mchezaji ana namba nzuri akija epl ana struggle kupata hata goli 1
Hv Ronaldo ni Ujinga gan kafanya, kuna namba Tisa gan pale United ya kumkarisha Ronaldo bench ? Magoli mengi yanafungwa na midfielders , ina mana kocha kakubali kumweka Ronaldo bench ili midiflders wafanye covering .... Ngoja tuone
Pele ana mafanikio makubwa kuliko Ronaldo,Huyu ten hag hatofika mbali ni lazima tukubali kwanza Ronaldo ana mafanikio makubwa kuliko yeye kwenye mpira wa miguu anastahili heshima kilichopo pale wala sio kiwango cha Ronaldo but ni chuki binafsi .Tujifunze kuthamini kazi kubwa walizofanya watu mpk wakafika walipo bila kuwachukia
Ronaldo kaanza mechi ngp msimu huu??? Na katka hzo mechi alizoanza kafanya lipi la maajab.. tukubali tukatae kila zama zina mwisho wake kashamaliza mpira mbwa yuleHv Ronaldo ni Ujinga gan kafanya, kuna namba Tisa gan pale United ya kumkarisha Ronaldo bench ? Magoli mengi yanafungwa na midfielders , ina mana kocha kakubali kumweka Ronaldo bench ili midiflders wafanye covering .... Ngoja tuone
Kwamba Martinez anawekwa bench na nani hapo??Chelsea vs ManUtd Combined XI
[WhoScored]
#RonaLdoOUT
#GlazerOUT
#GGMU[emoji123][emoji41]
manutd View attachment 2394553
Mala zote #whoscore akili hawanaga ko sishangazwi na hilo mKuu.
Hii Hali ilitukuta Arsenal kipind Arteta ameamua kuwafurumusha Auba na Ozil, alipokea maneno mengi ,Lakini alisamama na msimamo wakeKuna watu wanashangaza sana mkuu. Pengine kuna watu hawataki kusikia wala kuamini kuwa Ronaldo wa leo sio yule wa juzi wala wa jana. Wanataka apangwe tu kwenye timu kwakuwa ni 'Ronaldo'.