Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Na asije akafanya masikhara pia kumuongezea hata mmoja hawa wanaomaliza mikataba. Hata waonyeshe ubora kiasi gani msimu huu hii mifuko iende tu. (Rashford, Degea, Fred, Dalot, Jones, Tuanzebe, Ronaldo, Shaw, Heaton)

Hao wote hapo wanaweza kuwa kaburi lake siku za usoni akijikoroga kumpa hata mmoja mkataba mpya. Ukimuondoa Ronaldo ssb ya umri waliobakia wote hawana ubora wa kucheza United. (inconsistency performance)
Chief unamwachiaje Rashid na Fred?

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
 
Chief unamwachiaje Rashid na Fred?

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Hahahaa Jombaa are you serious? Rashford huyu huyu mchezaji asiye na consistency? Fred huyu sihitaji hata kumzungumzia.

Huwezi kushinda makombe kama huna wachezaji wenye performance consistency. Vitu ambavyo Rashford na Fred hawawezi kukupa msimu mzima.
 
Yesterday was brilliant from the boys!

Binafsi hata tungepata droo dhidi ya Spurs nisingelaumu sana sababu ya uzuiaji wao na ubutu wa Rashford maana tulifanya vema karibia kila kitu kwa dakika zote 90.
Hivi ndivyo ninataka tucheze,kutawala mchezo na kuwa proactive kuliko kinyume chake.

Bado tunahitaji namba 9 aliyekamilika maana Rashford hana muendelezo wakati Martial kwenye kufanya pressing ni mvivu. Walau hata Trossard yule wa BHA,sijui tunasubiri aende kwingine ndio tuanze kulaumiana?

Suala la sancho ni darasa tosha kwetu sisi kwenye sajili zinazopigiwa chapuo na media/pundits wa Kiingereza zaidi,hazina uhalisia sana.

BRING EM RENT BOYS!
GGMU.
 
Ila jana tumecheza mpira nadhani msimu huu ndo mechi ya kwanza kucheza dakika 90 mpera mpera tumekaba sana tackling za maana yani kazi kazi. Casemiro anajitahidi kutulia fred kuna dakika unampenda then fasta anakukera.

Ronaldo dah jana kanishangaza ila tunahitaji mfungaji jana wale 6 zilikua zinawahusu.
 
Safi huyu ni kusugulisha benchi mpaka aondoke shenzi.
Screenshot_20221020-190301.jpg
 
Conte kwenye post match interview alikuwa mnyonge kinoma..tuliwapelekea moto balaa..

Chelsea hii pia sio ya kutusumbua..inabidi tuwafunge and that will be a big boost to our season.
Performance ya spurs inayocheza nyuma muda wote na kuwaachia mpira mcheze ili ikitokea turnover wanawashambulia Kwa counter ndo inawazuzua namna hii
 
Hahahaa Jombaa are you serious? Rashford huyu huyu mchezaji asiye na consistency? Fred huyu sihitaji hata kumzungumzia.

Huwezi kushinda makombe kama huna wachezaji wenye performance consistency. Vitu ambavyo Rashford na Fred hawawezi kukupa msimu mzima.
Rashford ana Consistency angalia kwa jicho jengine. Mechi zote hizi kubwa kina Liver, Arsenal, Spurs ambazo tumeshinda ni key player. Kikosi kikiwa kikubwa kila mchezaji atakua na role yake.
 
View attachment 2392132

Conte ni mjanja mjanja sana.

Ukiichukulia kauli hii technically utaona Conte anawapa presha Ten Hag na benchi lake kumuanzisha Ronaldo siku ya leo, mtu ambae ni rahisi kumkaba, sio mzuri kwenye possession na kibaya zaidi ha press effectively.

Ten Hag akiingia huu mkenge leo ameyakanyaga. NDOIGE lazima iwahusu!
Nimekuvulia kofia
 
Back
Top Bottom