Sicario poison
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,327
- 4,574
Mpira dakika 90 kumbuka Chelsea wabovu msimu huunyinyi kenge muoshe vizuri
cheltako kashapaka mkongo huko
Mpira dakika 90 kumbuka Chelsea wabovu msimu huunyinyi kenge muoshe vizuri
cheltako kashapaka mkongo huko
nyinyi wote ni wabovu msimu huuMpira dakika 90 kumbuka Chelsea wabovu msimu huu
Ana miaka 37 lkn anataka apewe muda wa kijana mwenye 20s, hilo ni tatizo kubwa sana.Vipi Mkuu usajili wa Ronaldo bado ni asset kwetu au ni liability ?
Kumbe ulibadili jina mkuu, me nilidhani ni miongoni mwa wale watoto walioanza kufuatilia soka baada ya betting companies kuanza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vipi Mkuu usajili wa Ronaldo bado ni asset kwetu au ni liability ?
Pole pole point zetu zinaingia. Angekua ole angeacha hadi kikosi apangiwe.Ana miaka 37 lkn anataka apewe muda wa kijana mwenye 20s, hilo ni tatizo kubwa sana.
Dah hayari aje huku Africa tukipige CAF champion leagueHivi kesi ya Greenwood inaendeleaje?
Klabu imeachia mahakama iamue kwanza hatma yake ndipo mambo mengine yaendeleeHivi kesi ya Greenwood inaendeleaje?
Daah dogo kaua kipaji chake mapema sana maana akirudi dimbani tena mauwezo yatakuwa yamepungua anyway Mungu amsaidie uko.Klabu imeachia mahakama iamue kwanza hatma yake ndipo mambo mengine yaendelee
Na asije akafanya masikhara pia kumuongezea hata mmoja hawa wanaomaliza mikataba. Hata waonyeshe ubora kiasi gani msimu huu hii mifuko iende tu. (Rashford, Degea, Fred, Dalot, Jones, Tuanzebe, Ronaldo, Shaw, Heaton)
Hao wote hapo wanaweza kuwa kaburi lake siku za usoni akijikoroga kumpa hata mmoja mkataba mpya. Ukimuondoa Ronaldo ssb ya umri waliobakia wote hawana ubora wa kucheza United. (inconsistency performance)
Naunga mkono hoja. Hofu yangu kubwa sana huyu Bruno ni loyal follower wa Ronaldo. Ila kwa namna yoyote ile Ronaldo anapaswa kuondolewa kikosini mwezi wa kwanza kabla hali haijawa mbaya zaidi dressing room.Ten Haag kaza. Bado Bruno aonywe.
Ni kweli ila hao wachezaji wote wanaomaliza mikataba yao mshabiki yeyote wa United aliyemkweli na nafsi yake anafahamu fika ni wachezaji wa hovyo wasio na uhakika wa kucheza kwa kiwango kizuri kwa muda mrefu.Rashford, Dalot na Shaw hao ni uhakika 100% wataendelea kuwepo United beyond 2023. De Gea sababu ya falsafa ya kocha, huyo Nampa 50/50 itategemea na evaluation ya kocha mwisho wa msimu. Fred nae itategemea na upatikanaji wa De Jong, ila nae (Fred) uwezekano wa kuendelea kuwepo beyond 2023 ni mkubwa sana. Hao wengine Sina comment
Ugomvi wangu mkubwa na Rashford ni incosistency. Rashford akiwa ktk ubora wake ni mchezaji pekee ninayemuamini akiwa uwanjani kuliko mchezaji yeyote pale United.Rashford, Dalot na Shaw hao ni uhakika 100% wataendelea kuwepo United beyond 2023. De Gea sababu ya falsafa ya kocha, huyo Nampa 50/50 itategemea na evaluation ya kocha mwisho wa msimu. Fred nae itategemea na upatikanaji wa De Jong, ila nae (Fred) uwezekano wa kuendelea kuwepo beyond 2023 ni mkubwa sana. Hao wengine Sina comment
Nilibadili Jima mkuuKumbe ulibadili jina mkuu, me nilidhani ni miongoni mwa wale watoto walioanza kufuatilia soka baada ya betting companies kuanza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbwa wewe.Leo mkitoboa mbele ya Spurs mniite mbwa nimekaa hapa.
Mara nyingi nilikuwa namsapoti Ronaldo ila kwa kitendo alichofanya jana uzalendo umenishinda naona wachezaji wana morali ya juu ya kupambana kitimu yeye analeta mentality za ufather na kumpangia kocha hata kipindi yuko Real Madrid jamaa wakishinda wenzake hata timu ukishinda bila yeye kufunga hana hata raha hata kwenye kushangilia anashangilia kinyonge kiufupi mbinafsi sana na anapenda mafanikio binafsi ..
Bruno ni loyal follower wa Ronaldo lakini Bruno ni very disciplined na anaipenda United.Naunga mkono hoja. Hofu yangu kubwa sana huyu Bruno ni loyal follower wa Ronaldo. Ila kwa namna yoyote ile Ronaldo anapaswa kuondolewa kikosini mwezi wa kwanza kabla hali haijawa mbaya zaidi dressing room.
Endelea kuota.Ile Trap aliyotega conte ya kumsifia cr7 ili aanzishwe iwe rahisi kumkaba, jana Ten kairuka vizuri tu
Matokeo mliyopata jana
Ni ushindi kwa ARSENAL, technically wazee wetu mnazidi kubariki hiki kikombe cha ligi msimu huu tukibebe
Pongezi za dhati kwa Fred, Nilishawai kumuelezea humu.
Kwamba leo mzima, kesho kichaa anapiga watu mawe
Haaland kiatu
Arsenal ndoo