Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Huyu ten hag hatofika mbali ni lazima tukubali kwanza Ronaldo ana mafanikio makubwa kuliko yeye kwenye mpira wa miguu anastahili heshima kilichopo pale wala sio kiwango cha Ronaldo but ni chuki binafsi .Tujifunze kuthamini kazi kubwa walizofanya watu mpk wakafika walipo bila kuwachukia
Mtoto wako akikuzidi uwezo wa kifedha utamruhusu akufanye anachotaka yeye, yani akuagize maji ya kunywa na wewe unamletea?
 
Ngoja leo ni tulie ni mcheki kijana Cody Gakpo kama ni kipaji au kelele tu

Kama hataweza kuonesha makali yake mbele ya timu kama arsenal basi hatakuwa yupo vyema maana tetesi kibao zina mzungumzia kuja Manchesterunited.
Vipi ulilidhika na kiwango chake ?

Alikutana na Samurai akawekwa kapuni, kazi ya Samurai Ni kushusha Bei za watu Kama hao

Ukiambiwa Gapko alikuwa uwanjani unaweza kupigana
IMG_20221021_123713.jpg
 
Kila napo pita watu wanafuraha kweri kweri[emoji16][emoji16] kuuliza kunani leo wanasema.

Manchester united inacheza leo na dunia nzima wana furaha[emoji16][emoji16]

Prediction

Chelsea 1 vs Manchester united 2

Muda

[emoji355] 1:30 jioni

[emoji909]Stamford bridge

Last match

Chelsea 1 vs Manchester united 1View attachment 2394271
Asubuhi nimepita hospitali ya Ocean Road nikakutana na madoctors wamekaa chini ya mti wanacheza game.
Nikawauliza kulikoni mbona mmekaa hapa hamuendi kuwahudumia wagonjwa?
Wakatabasamu kisha wakanijibu leo Manchester United wanacheza wagonjwa wote wapo na furaha hakuna hata mgonjwa mmoja Siku ya leo atakaeomba hata panaldo,
Kupita wodini nawakuta wagonjwa wapo na furaha kwelikweli, wanapiga story kuhusu wachezaji watakaoanza kwenye game ya leo, hapo ndio nikaamini maneno ya allypipi ya kwamba:
Manchester united inacheza leo na dunia nzima wana furaha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Huyu ten hag hatofika mbali ni lazima tukubali kwanza Ronaldo ana mafanikio makubwa kuliko yeye kwenye mpira wa miguu anastahili heshima kilichopo pale wala sio kiwango cha Ronaldo but ni chuki binafsi .Tujifunze kuthamini kazi kubwa walizofanya watu mpk wakafika walipo bila kuwachukia
Aisee Ten Hag anamchukia vipi Ronaldo ?
 
Huyu ten hag hatofika mbali ni lazima tukubali kwanza Ronaldo ana mafanikio makubwa kuliko yeye kwenye mpira wa miguu anastahili heshima kilichopo pale wala sio kiwango cha Ronaldo but ni chuki binafsi .Tujifunze kuthamini kazi kubwa walizofanya watu mpk wakafika walipo bila kuwachukia
Kwahiyo mkuu wewe unataka EtH aache kuwa mwalimu na asikilize kile Ronaldo anataka? Hivi mkuu unaelewa kile kitu umeandika na ulichomaanisha au?

Yani Ronaldo yeye afanye ujinga timu iharibike na aachwe kisa ni mchezaji mkubwa? Yani Ronaldo hachezi kwa kiwango na haendani na kasi, EtH ampange tu kwasababu Ronaldo anataka?

Hiyo chuki ya EtH kwa Ronaldo wewe unaiona wapi? Huyu huyu Ronaldo ambae hakushiriki maandalizi ya msimu na timu na bado EtH akampokea na kumpanga? Hiyo chuki nyie mnaiona kwenye kitu gani mkuu?
 
Hv Ronaldo ni Ujinga gan kafanya, kuna namba Tisa gan pale United ya kumkarisha Ronaldo bench ? Magoli mengi yanafungwa na midfielders , ina mana kocha kakubali kumweka Ronaldo bench ili midiflders wafanye covering .... Ngoja tuone
 
Back
Top Bottom