Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

0_GettyImages-1243306152.jpg

He is coming to get you manure
 
Ushindi unawezekana kama mtaibeba OT kwenda nayo Etihad, timu yoyote inaweza kucheza Counter km kuna support ya mashabiki nyuma.
Sisemi kuwa Man U anashinda leo.

Ila katika michezo minne ya hivi karibuni Man U aliyocheza Etihad.
Man City kashida mchezo mmoja tuu, iliyobaki yote Man U kashinda.

So iyo Point yako inakufa.
 
Sina shaka mechi ya leo, City anaenda kui dominate na kama kawaida yake atacheza high line. Kama wachezaji watakuwa na discipline, wakaweka workrate kubwa as a team(hii inawezekana Ronaldo asipoanza) , intensity kubwa, cover more distance uwezo wa kupambana na City upo. Sijui kama tutashinda ila lazima tumfunge magoli kadhaa kwa kuwa tupo vzr kwenye counter. Defence yetu ndo itaamua kama tunashinda mechi au la..
 

Casemiro hajamfurahisha kocha bado au shida ni nini wataalamu wa soka?
 
Bruno na eriksen pigeni zile pasi mchomoko za fasta kwenye ile high line defense ya city zimkute rashfod awaweke hawa city... mana city pale kati yupo akanji na akeaisee hahahaaa
Uyu dogo halland katutolea maneno ya shombo sana kwanza anakwambia united haikua timu ya hadhi yake kuichezea pili kanasema sis kalikua kanatutamani mda mrefu kweli katuoneshe ngoja tumuone hiyo Leo
 
Back
Top Bottom